Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Sep 28, 2019 04:29

    Marekani ina rekodi kubwa zaidi ya kutumia aina mbali mbali za vikwazo dhidi ya nchi zingine kwa ajili ya kufikia malengo ya siasa zake za nje. Ushadidishaji vikwazo unaofanywa na Washington katika kipindi cha urais wa Donald Trump umekuwa ukipingwa na kulaaniwa kimataifa. Pamoja na hayo kinachoendelea kushuhudiwa kila uchao ni kutangazwa vikwazo vingine vipya vya Marekani dhidi ya nchi zingine duniani.

  • Gazeti la Washington Post lachapisha ripoti yenye utata dhidi ya Rais Donald Trump

    Gazeti la Washington Post lachapisha ripoti yenye utata dhidi ya Rais Donald Trump

    Sep 28, 2019 04:20

    Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limeripoti kwamba, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliwahi kuwaeleza viongozi wawili wa ngazi ya juu wa Russia kuwa, uingiliaji wa Moscow katika uchaguzi wa Marekani, halikuwa jambo la kutia wasi wasi kwa kuwa hata Washington nayo huwa inafanya hivyo katika nchi nyingine za dunia.

  • Agizo jipya la Trump dhidi ya maafisa wa Iran na tapatapa za mfamaji

    Agizo jipya la Trump dhidi ya maafisa wa Iran na tapatapa za mfamaji

    Sep 27, 2019 03:39

    Rais Donald Trump wa Marekani jana Alkhamisi aliendeleza sera zake za kuiweka mashinikizo ya juu zaidi kwa shabaha ya kuilazimisha Jamhuri ya Kiislamu isalimu amri mbele ya matakwa ya serikali ya Washington.

  • Wanamgambo wa Kikurdi wa Syria wanatumia maelfu ya shule kama makao ya kijeshi

    Wanamgambo wa Kikurdi wa Syria wanatumia maelfu ya shule kama makao ya kijeshi

    Sep 26, 2019 23:09

    Wanamgambo wa Kikurdi kwa jina la Vikosi vya Kidemokrasia vya Syria wanaoungwa mkono na Marekani hadi kufikia sasa wamefunga shule zaidi ya elfu mbili katika mkoa wa Hasaka. Aidha wamezigeuza baadhi ya shule hizo kuwa makao yao ya kijeshi.

  • Rouhani: Vikwazo vya kikatili vya Marekani vimeongeza mshikamano nchini Iran

    Rouhani: Vikwazo vya kikatili vya Marekani vimeongeza mshikamano nchini Iran

    Sep 26, 2019 09:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya kikatili vya Marekani dhidi ya Tehran vimeshindwa kufikia malengo yake, na badala yake vimeongeza mshikamano miongoni mwa wananchi wa Iran.

  • China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa kununua mafuta ya Iran

    China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa kununua mafuta ya Iran

    Sep 26, 2019 08:51

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa China amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya nchi hiyo ya Asia kwa kuendelea kununua mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Binti wa Kiislamu alazimishwa kuvua hijabu kabla ya kuabiri ndege Marekani

    Binti wa Kiislamu alazimishwa kuvua hijabu kabla ya kuabiri ndege Marekani

    Sep 26, 2019 00:43

    Binti wa Kiislamu ambaye anachezea timu ya taifa ya mchezo wa squash ya Marekani amewafungulia mashitaka wafanyakazi wa shirika la ndege la Air Canada kwa kumlazimisha kuvua hijabu kabla ya kuabiri ndege ya shirika hilo nchini Marekani.

  • Trump akariri tena tuhuma zake dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Trump akariri tena tuhuma zake dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Sep 25, 2019 01:13

    Rais Donald Trump wa Marekani amelitumia jukwaa la mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kukariri kwa mara nyingine tena porojo na tuhuma zake za kila siku dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • 'Kabla ya Mapinduzi ya 21 Septemba 2014, mabalozi wa Saudia na Marekani ndio walikuwa watawala wa Yemen'

    'Kabla ya Mapinduzi ya 21 Septemba 2014, mabalozi wa Saudia na Marekani ndio walikuwa watawala wa Yemen'

    Sep 25, 2019 01:10

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa nchini Yemen amezungumzia uingiliaji mkubwa wa Marekani na Saudi Arabia katika masuala ya ndani ya nchi hiyo na kusema kuwa kabla ya mapinduzi ya tarehe 21 Septemba 2014, hali ya Yemen ilikuwa mbaya kiasi kwamba mabalozi wa Marekani na Saudia ndio walikuwa wakiiongoza nchi hiyo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Hizbullah si kundi la kigaidi

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Hizbullah si kundi la kigaidi

    Sep 25, 2019 01:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amesema: Harakati ya Hizbulllah ya Lebanon si kundi la kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS