Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump 'alilia' Tuzo ya Nobel, asema Obama hakustahiki kupewa

    Trump 'alilia' Tuzo ya Nobel, asema Obama hakustahiki kupewa

    Sep 24, 2019 04:18

    Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amedai kuwa ana ustahiki wa kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel.

  • Kukiri Marekani kwamba vikwazo vyake dhidi ya Iran vimefika kileleni na vimefeli

    Kukiri Marekani kwamba vikwazo vyake dhidi ya Iran vimefika kileleni na vimefeli

    Sep 23, 2019 23:18

    Baada ya kujitoa bila sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kwa jina la JCPOA na kuirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya mapatano hayo, bali kuongeza vikwazo vikubwa zaidi ambavyo havijawahi kutokea mfano wake, leo hii serikali ya Donald Trump ya Marekani imelazimika kukiri kuwa vikwazo vyake hivyo vimeshindwa kuzaa matunda yaliyotarajiwa.

  • Kumalizika kusikoeleweka kwa mazungumzo ya biashara kati ya Marekani na China

    Kumalizika kusikoeleweka kwa mazungumzo ya biashara kati ya Marekani na China

    Sep 22, 2019 23:10

    Siasa za kimaslahi na za upendeleo wa kiuchumi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambazo zinalenga kushadidisha mgogoro wa ushuru wa forodha, zimeibua vita vikubwa vya kibiashara kati ya nchi hiyo na China.

  • Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni

    Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni

    Sep 22, 2019 09:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuweko mifarakano baina ya mataifa ya Mashariki ya Kati ndilo takwa la Marekani na Uzayuni.

  • Rex Tillerson akiri ujasusi wa Israel dhidi ya Marekani

    Rex Tillerson akiri ujasusi wa Israel dhidi ya Marekani

    Sep 22, 2019 08:43

    Katika matamshi ya ufichuaji siri, aliyoyatoa katika Chuo Kikuu cha Harvard, Rex W. Tillerson, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani ameutuhumu utawala haramu wa Kizayuni kuwa umeipotosha serikali ya Marekani, ikiwa ni katika juhudi za kufikia malengo yake.

  • Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa uchaguzi wa Israel na mashambulio dhidi ya Aramco

    Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa uchaguzi wa Israel na mashambulio dhidi ya Aramco

    Sep 21, 2019 22:59

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah alasiri juzi Ijumaa Septemba 20 alitoa radiamali yake kwa uchaguzi wa bunge wa Israel na mashambulizi dhidi ya vituo vya mafuta vya Aramco vya Saudia.

  • Trump azionya nchi za Ulaya, azitaka ziwachukue raia wake waliojiunga na ISIS

    Trump azionya nchi za Ulaya, azitaka ziwachukue raia wake waliojiunga na ISIS

    Sep 21, 2019 07:45

    Rais Donald Trump wa Marekani amezionya nchi za Ulaya akizitaka zihakikishe zimewachukua raia wao waliojiunga na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na wanaoendelea kushikiliwa nchini Iraq na Syria.

  • Iran kuendelea kuimarisha makombora yake ya balistiki licha ya kelele za Marekani

    Iran kuendelea kuimarisha makombora yake ya balistiki licha ya kelele za Marekani

    Sep 21, 2019 03:12

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuimarisha mfumo wake wa makombora ya balistiki licha ya kelele za Marekani.

  • Marekani kutuma wanajeshi zaidi huko Saudia na Imarati

    Marekani kutuma wanajeshi zaidi huko Saudia na Imarati

    Sep 21, 2019 02:58

    Marekani inajiandaa kutuma askari zaidi nchini Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, kuimarisha kile kilichotajwa kama mfumo wa ulinzi wa anga wa Riyadh.

  • Maseneta wa Marekani wataka kusimamishwa ushirikiano wa nyuklia wa nchi hiyo na Saudi Arabia

    Maseneta wa Marekani wataka kusimamishwa ushirikiano wa nyuklia wa nchi hiyo na Saudi Arabia

    Sep 20, 2019 23:59

    Ikiwa ni katika kudumisha uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudi Arabia na kinyume na sheria za Marekani zinazobainisha wazi masharti na misingi ya ushirikiano wa nyuklia na nchi za kigeni, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo imekuwa ikifanya mazungumzo na watawala wa Saudia kwa ajili ya kujenga vituo vya nyuklia katika nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS