-
Zarif: Marekani haina uwezo wa kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi
Aug 22, 2019 22:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya juhudi zake zote kulinda usalama wa Ghuba ya Uajemi na kwamba Marekani haina uwezo wa kuvuruga usalama wa eneo hilo.
-
Marekani yashadidisha siasa zake dhidi ya wahajiri
Aug 22, 2019 02:37Marekani imesema itaanza kutekeleza sheria mpya dhidi ya wahajiri na hivyo kuzidisha vigingi na vizuizi dhidi ya watoto na familia za wahajiri nchini humo.
-
Mazungumzo ya Marekani na serikali ya Venezuela; kulegeza kamba Trump kuhusu mpango wake wa kuipindua serikali ya Maduro
Aug 22, 2019 01:58Baada ya miezi kadhaa ya njama za Marekani za kutaka kuipindua serikali ya Rais Nicolas Maduro wa Venenzuela, hivi sasa Washington imekata tamaa na siasa zake za kibabe na imebadilisha msimamo wake kikamilifu kwa kufanya mazungumzo na viongozi kadhaa wa Caracas.
-
Russia na China zaitisha kikao cha Baraza la Usalama la UN dhidi ya Marekani
Aug 22, 2019 01:05Maafisa wa Russia na China wametoa wito wa kufanyika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili mipango ya Marekani ya kustawisha makombora ya masafa ya kati ya kuyapeleka katika baadhi ya maeno ya dunia hususan Asia na Ulaya.
-
Ukosoaji mkali wa Russia na China dhidi ya majaribio ya kombora la Cruise la Marekani
Aug 21, 2019 03:11Mwezi uliopita Rais Trump wa Marekani aliendeleza sera yake ya kujiondoa katika makubaliano na mikataba ya kimataifa kwa kuiondoa nchi hiyo katika mkataba wa Slaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF). Hatua hiyo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni utangulizi wa ajenda kubwa zaidi ya serikali ya Washington ya kustawisha na kuzalisha silaha mpya.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Israel
Aug 20, 2019 22:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kutokuwa na itikadi na asili ya Wilaya (uongozi katika Uislamu) baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu kumewafanya wawe vibaraka wa Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Ilhan Omar: Nendeni Israel mkaone 'uhalisia wa ukatili wa kukalia ardhi kwa mabavu'
Aug 20, 2019 03:33Wabunge wawili Waislamu katika Kongresi ya Marekani wamesisitiza kuwa wataendelea kupambana na sera za Trump dhidi ya Palestina na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hadi pumzi yao ya mwisho.
-
Wakongwe wa jeshi la Marekani wajiunga na kampeni ya kutaka Trump atimuliwe
Aug 19, 2019 22:05Kundi la askari wakongwe wa jeshi la Marekani limejiunga na kampeni inayoitaka Kongresi ya nchi hiyo iharakishe mwenendo wa kumtimua kazi Rais Donald Trump wa nchi hiyo kupitia njia ya kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
-
Russia yasema itajibu mapigo kwa hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora Asia na Ulaya
Aug 18, 2019 08:47Waziri wa Ulinzi wa Russiia ametahadharisha kwamba, Moscow itajibu hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora katika nchi za Asia na Ulaya.
-
Utawala wa Kizayuni unashirikiana na Trump katika hatua dhidi ya wabunge Waislamu katika Kongresi ya Marekani
Aug 17, 2019 03:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa haitawaruhusu wajumbe wawili wa Bunge la Marekani, Kongresi, kuingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.