Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Misimamo isiyo ya busara ya Uingereza na Marekani kuhusu kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran

    Misimamo isiyo ya busara ya Uingereza na Marekani kuhusu kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran

    Aug 16, 2019 23:11

    Hatua ya Uingereza kusimamisha kinyume cha sheria meli ya mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa imeibua mvutano wa kisiasa kati ya London na Tehran huku Marekani nayo kupitia siasa zake za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Iran, ikijaribu kushinikiza meli hiyo iendelee kushikiliwa huko Jabal Tariq (Gibraltar).

  • Marais wa Tanzania na Afrika Kusini wapigia debe fursa za uwekezaji

    Marais wa Tanzania na Afrika Kusini wapigia debe fursa za uwekezaji

    Aug 15, 2019 08:49

    Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani amewakaribisha wafanyabiashara wa Afrika Kusini kwenda kuwekeza katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za afya, hoteli, utalii wa fukwe na uchakataji wa madini

  • Sisistizo la anayechukua nafasi ya Mogherini na Troika ya Ulaya kuhusu kulinda JCPOA

    Sisistizo la anayechukua nafasi ya Mogherini na Troika ya Ulaya kuhusu kulinda JCPOA

    Aug 15, 2019 05:44

    Umoja wa Ulaya na Troika ya umoja huo yaani, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, kama wanachama wa kundi la 4+1 wamekuwa wakidai kuwa wanaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA. Pamoja na hayo, hivi sasa Ulaya inakabiliwa na changamoto kubwa katika kulinda mapatano ya JCPOA. Ni kwa msingi huo ndio wakuu wa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya wakasisitiza kuhusu kulinda JCPOA.

  • Indhari kuhusu hatari kubwa ya ubaguzi wa rangi kwa usalama wa Marekani

    Indhari kuhusu hatari kubwa ya ubaguzi wa rangi kwa usalama wa Marekani

    Aug 14, 2019 21:06

    Kuingia madarakani Donald Trump akiwa rais wa 45 wa Marekani kumeambatana na kuzuka wimbi jipya la ubaguzi wa rangi ndani ya nchi hiyo.

  • Julie Pace: Trump ana historia ndefu ya kueneza uongo

    Julie Pace: Trump ana historia ndefu ya kueneza uongo

    Aug 14, 2019 06:40

    Mkuu wa ofisi ya shirika la habari la Associated Press mjini Washington amesema kuwa Rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump ana historia ndefe ya kueneza uongo na kutoa matamshi yasiyo sahihi wala yasiyo na msingi.

  •  Wafaransa wataka uchunguzi ufanyike kadhia ya kujiuwa bilionea wa Kimarekani

    Wafaransa wataka uchunguzi ufanyike kadhia ya kujiuwa bilionea wa Kimarekani

    Aug 13, 2019 07:30

    Mawaziri kadhaa wa Ufaransa wametaka kuanza uchunguzi nchini humo kuhusu bilionea wa Kimarekani ambaye ametajwa kuwa alikuwa akijihusisha na magendo ya kuwauza wasichana na mabinti kwa ajili ya biashara ya ngono; bilionea ambaye alikuwa akimfadhili kifedha Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani

    Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani

    Aug 13, 2019 03:42

    Katika kipindi chote cha utawala wa Rais Vladmir Putin nchini Russia Wamagharibi wamekuwa wakifanya kila wawezalo kuzusha ghasia na kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Nchi za Magharibi hususan Marekani, zimekuwa zikitumia zaidi propaganda chafu na vita vya kinafsi dhidi ya Russia na nchi nyingine zisizokubaliana na sera zao za kibeberu.

  • Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Aug 13, 2019 02:43

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Eshaq Jahangiri amesema Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la kistratijia la Hormuz na kutumia ukosefu wa usalama kama kisingizo cha kujiimarisha kijeshi katika eneo.

  • Los Angeles Time: Saudia haina uwezo wa kushinda vita nchini Yemen

    Los Angeles Time: Saudia haina uwezo wa kushinda vita nchini Yemen

    Aug 12, 2019 22:03

    Gazeti la Los Angeles Time limekosoa uvamizi wa kijeshi uliofanywa na Saudi Arabia nchini Yemen na kueleza kwamba haitawezekana kwa utawala wa Aal Saud kushinda vita hivyo.

  • Iran: Ni kupoteza wakati kwa Washington kusubiri kufanya mazungumzo na Iran

    Iran: Ni kupoteza wakati kwa Washington kusubiri kufanya mazungumzo na Iran

    Aug 11, 2019 22:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ni bure na upuuuzi kwa Washington kuwa na matarajio kwamba, viongozi wa Marekani watafanya mazungumzo ya simu na wa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS