-
Ijumaa tarehe 28 Juni 2019
Jun 27, 2019 23:11Leo ni Ijumaa tarehe 24 Shawwal 1440 Hijria sawa na Juni 28 mwaka 2019
-
Korea Kaskazini yaikosoa vikali Marekani kwa kurefusha tena vikwazo dhidi yake
Jun 26, 2019 07:33Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, hatua ya Washinton ya kurefusha vikwazo kwa muda wa mwaka mmoja dhidi ya Pyongyang ni kielelezo cha uhasama wa wazi wa nchi hiyo.
-
Kamanda wa IRGC: Marekani haina ubavu na ujasiri wa kuishambulia Iran
Jun 26, 2019 03:11Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema hakuna nchi yoyote ile duniani ikiwemo Marekani yenye ujasiri, ubavu na uthubutu wa kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Magaidi wa Marekani wauawa baada ya Pompeo kufanya safari ya kificho Afghanistan
Jun 26, 2019 02:43Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi NATO umetangaza habari ya kuuawa askari magaidi wawili wa Marekani nchini Afghanistan leo Jumatano.
-
Misimamo ya kimasharti ya troika ya Ulaya kuhusu JCPOA
Jun 26, 2019 02:17Huku muda uliowekwa na Iran wa kuongeza kiwango cha kutochunga ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA kutokana na upande wa pili wa mapatano hayo kutotekeleza kabisa ahadi zao ukikaribia, troika ya Ulaya yaani nchi tatu za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zimeanzisha harakati za kidiplomasia na kipropaganda za kujaribu kuizuia Iran isichukue hatua zaidi za kupunguza utekelezaji wa ahadi zake.
-
Rais wa Iraq: Hatutairuhusu Marekani itumie ardhi yetu kuishambulia Iran
Jun 26, 2019 02:11Rais Barham Salih wa Iraq amesema katu nchi hiyo ya Kiarabu haitairuhusu Marekani itumie ardhi yake kuanzisha shambulizi lolote la kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Iran itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena
Jun 25, 2019 22:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haifuatilii kuingia vitani na Marekani lakini itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena na Marekani.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Wapalestina wanataka uhuru na si sadaka
Jun 25, 2019 22:27Waziri Mkuu wa Palestina amesema kuwa mhandisi na mtayarishaji wa mpango wa Kimarekani wa eti amani ya Mashariki ya Kati wa Muamala wa Karne unaosimamiwa na mkwe wa Rais Donald Trump, Jared Kushner na wenzake hawaelewi kuwa Wapalestina hawataki sadaka bali wanadai haki zao za kuwa huru na kukomeshwa uvamizi wa Israel na udhibiti wa dola hilo haramu wa maisha na uchumi wao.
-
'Kutunguliwa droni ya Marekani kumeibua fahari, izza na ghera ya Wairani'
Jun 25, 2019 07:53Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutunguliwa ndege isiyo na rubani (drone) ya Marekani baada ya kukiuka anga ya Iran ni jambo ambalo limeibua ghera, izza na furaha ya Wairani.
-
Iran: Vikwazo vipya vinaashiria namna Marekani isivyoheshimu sheria za kimataifa
Jun 25, 2019 03:19Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya viongozi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ni ithibati nyingine tosha kuwa utawala wa Washington hauko tayari kuheshimu sheria za kimataifa.