-
Russia yaituhumu Marekani na nchi za Ulaya kuwa zimechochea machafuko Moscow
Aug 05, 2019 07:01Msemaji wa Wizara ya Mambo y Nje ya Russia amesema kuwa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zimehusika katika machafuko yaliyotokea hivi karibuni mjini Moscow.
-
Serikali ya Tanzania yalaani matukio ya mauaji nchini Marekani
Aug 05, 2019 03:51Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelaani vikali matukio mawili ya ufyatuaji risasi na mauaji yaliyotokea jana kwa nyakati tofauti nchini Marekani na kusababisha makumi ya watu kuuawa na kujeruhiwa.
-
Baada ya Wamarekani 20 kuuliwa Texas, wengine 10 wauawa Ohio katika ufyatuaji mwengine wa risasi
Aug 04, 2019 09:22Watu wasiopungua 10 wameuawatisa na wengine 24 wamejeruhiwa katika shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea katika mji wa Dayton, jimboni Ohio nchini Marekani.
-
Umoja wa Ulaya wapinga hatua za kijeshi za Marekani katika Ghuba ya Uajemi
Aug 04, 2019 02:25Kuongezema mivutano katika eneo la Ghuba ya Uajemi kulikosababishwa na hatua za kichokozi na vitisho za Marekani na vile vile hatua ya Iran ya kuisimamisha meli ya mafuta ya Uingereza kwa kukiuka wazi wazi sheria za baharini kumezipelekea Washington na London kufanya kila linalowezekana ili kuimarisha uwepo wao wa kijeshi sambamba na kuanzisha muungano wa baharini eti kwa ajili ya kudhamini usalama wa meli huru katika eneo hilo la kistratejia.
-
Vikwazo dhidi ya Zarif; upinzani wa kimataifa dhidi ya Marekani
Aug 02, 2019 20:54Hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekabiliwa na upinzani mkali wa jamii ya kimataifa, hatua ya kisiasa ambayo imekosolewa hata ndani ya Marekani kwenyewe.
-
Malengo ya safari ya kiduru ya Jared Kushner katika eneo la Asia Magharibi
Aug 02, 2019 02:45Jared Kushner, mshauri mkuu wa Rais Donald Trump wa Marekani Jumatano iliyopita alianza safari ya kiduru katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Ukosoaji wa Russia kwa utendaji wa Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za magaidi nchini Syria
Aug 01, 2019 20:46Syria imekuwa ikikabiliwa na hali ya mchafukoge tangu mwakak 2011 na kisha ikatumbukia katika vita vya ndani baina ya serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo na waungaji mkono wake kwa upande mmoja na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na madola ya Magharibi na washirika wao wa Kiarabu kwa upande wa pili.
-
Rais Rouhani: Marekani imeshindwa na kufeli mbele ya taifa la Iran
Aug 01, 2019 08:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwaka jana maadui wa taifa la Iran walidai kuwa wanaweza kuuondoa madarakana mfumo wa Kiislamu unaotawala Iran, kuvunja uhuru wake na kuweka hatamu za nchi hiyo katika mikono ya White House, lakini hawakujua kwamba taifa la Iran litashinda na kuzima mashinikizo ya adui.
-
Ujerumani yapinga kujiunga na muungano wa baharini wa Marekani katika Ghuba ya Ujemi
Jul 31, 2019 06:39Kudhihiri mivutano katika eneo la Ghuba ya Ujemi kutokana na kuongezeka uwepo wa kijeshi wa Marekani katika eneo hili lenye umuhimu wa kistratijia na vilevile kukamatwa meli ya Uingereza na wanajeshi wa Iran kutokana na kukiuka kwake wazi wazi sheria za usafiri wa baharini, kumezipelekea Washington na London kujaribu kubuni muungano wa baharini kwa madai ya kulinda usalama wa safari za meli katika eneo hilo.
-
Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa
Jul 30, 2019 06:24Uwepo wa kijeshi wa nchi za kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi na taathira zake mbaya ambazo zimepelekea kuongezeka mivutano ya kisiasa na kijeshi katika eneo, umeipelekea Russia kuwasilisha mpango wa usalama wa eneo hili la kistratijia kwa Umoja wa Mataifa.