-
Hossein Amir-Abdollahian: Marekani chanzo cha ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan
Jul 30, 2019 03:15Hossein Amir-Abdollahian, Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, siasa mbovu za Marekani ndio chimbuko la ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan.
-
Ansarullah ya Yemen: Marekani na Umoja wa Mataifa zinachangia jinai za Saudi Arabia
Jul 30, 2019 02:46Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa, serikali ya Marekani na Umoja wa Mataifa zinabeba jukumu la jinai zinazofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Kujiuzulu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taifa wa Marekani
Jul 30, 2019 02:17Tangu Donald Trump aliposhika hatamu za kuongoza Marekkani alianza kutekeleza sera ya kuwafukuza kazi na hata kuwalazimisha maafisa wa ikulu ya White House wajiengue wenyewe.
-
Jumanne tarehe 30 Julai mwaka 2019
Jul 29, 2019 21:56Leo ni Jumanne tarehe 27 Dhulqaada 1440 Hijria inayosadifiana na Julai 30 mwaka 2019.
-
Mgombea uchaguzi wa Marekani: Trump ni mbaguzi wa rangi
Jul 29, 2019 08:11Mgombea mmoja wa uchaguzi wa rais wa Marekani amekosoa vikali utendaji wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo na kumtaja kuwa mbaguzi mkubwa wa rangi.
-
Wasiwasi wa Russia wa kuwekwa silaha za Marekani katika anga za mbali
Jul 28, 2019 06:35Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ambaye siku zote amekuwa akisisitiza udharura wa kuimarishwa nguvu ya jeshi la nchi hiyo, sasa inafuatilia mipango ya kuweka silaha zake tofauti katika anga za mbali, ikiwemo mifumo ya kukabiliana na makombora.
-
Azma ya taifa la Iran; kutosalimu amri mbele ya maadui
Jul 26, 2019 05:38Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sepah, amesema kuwa hakuna nguvu yoyote inayoweza kuichukulia uamuzi Iran na kwamba ulimwengu unapasa kuheshimu rasmi irada na azma ya taifa la Iran.
-
Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo
Jul 26, 2019 02:57Russia imeonyesha msimamo wa kuiunga mkono Iran mkabala na tuhuma za Marekani dhidi ya Iran ambazo ni chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Gazeti la Marekani: Jeshi la IRGC la Iran ni jinamizi kwa Trump
Jul 26, 2019 02:42Gazeti la National Interest linalochapishwa nchini Marekani limelielezea Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kuwa ni jinamizi kubwa zaidi kwa rais wa Marekani Donald Trump.
-
Iran yapinga matamshi ya kifidhuli na kibaguzi ya Trump kuhusu taifa la Afghanistan
Jul 24, 2019 02:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran amelaani matamshi ya kibaguzi na kifudhuli yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya taifa la Afghanistan.