-
Tuhuma za Marekani dhidi ya Russia kwa kuisaidia Venezuela
Jul 23, 2019 03:03Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani, siasa za upande mmoja za Washington dhidi ya nchi tofauti zinazopinga ubeberu na kupenda makubwa kwa Marekani, ikiwemo Venezuela , zimebadilika kuwa moja ya tofauti za msingi kati ya serikali ya Moscow na Washington.
-
Shutuma kali za chama cha Leba cha Uingereza kwa chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi
Jul 21, 2019 21:57Matukio ya hivi karibuni katika eneo la Ghuba ya Uajemi kama vile kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH baada ya meli hiyo kuvunja sheria za kimataifa za safari za baharini na madai ya uongo ya Marekani ya kwamba eti imetungua droni ya Iran, yamewafanya viongozi mbalimbali wa Uingereza kuonesha hisia zao kuhusu matukio hayo.
-
Muhammad Ali al-Houthi: Marekani chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi wa Yemen
Jul 20, 2019 23:53Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapainduzi ya Yemen amesema kuwa, hatua ya serikali za Saudi Arabia na Imarati ya kutekeleza kibubusa siasa za Marekani zimewaletea wananchi wa Yemen matatizo makubwa.
-
Zarif aionya Marekani 'isiichezee Iran'
Jul 20, 2019 08:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali uwepo kijeshi wa Marekani katika kila pembe ya dunia na kusema kuwa, kuwepo huko kwa Washington ndio sababu ya "kukosekana amani na uthabiti".
-
Mousavi: Pendekezo la mazungumzo la Marekani ni hila ya kukamilisha njama zake dhidi ya Iran
Jul 20, 2019 04:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, pendekezo la Marekani la kutaka kufanya mazungumzo na Iran ni hila tu ya kujaribu kukamilisha njama za Washington dhidi ya Tehran yaani kuliwekea taifa la Iran mashinikizo makubwa kupindukia.
-
Zarif: Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu
Jul 20, 2019 03:05Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu na pia kutokana na tabia yake ya kuendelea kuiwekea mashinikizo Tehran.
-
Jumamosi, 20 Julai, 2019
Jul 19, 2019 21:52Leo ni Jumamosi tarehe 17 Mfunguo Pili, Dhul-Qaadah 1440 Hijria mwafaka na tarehe 20 Julai 2019.
-
IRGC: Hivi karibuni tutaonyesha picha za meli ya Marekani zilizochukuliwa na ndege zetu ili kufichua uongo wa Trump
Jul 19, 2019 10:10Ofisi Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) imetoa radiamali kufuatia madai ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyesema kuwa meli ya kivita ya nchi hiyo imetungua ndege isiyo na rubani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marekani yaiwekea vikwazo harakati ya Hashd al Shaabi ya Iraq
Jul 19, 2019 01:54Naibu Rais wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo imeamua kuwawekea vikwazo makamanda wanne waandamizi wa harakati ya wananchi ya Hashd al Shaabi ya Iraq.
-
Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki
Jul 19, 2019 01:50Hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka kwa Russia imezusha mgogoro mkubwa katika uhusiano wake na Marekani hasa kwa kuzingatia kuwa kabla ya hapo pia Ankara na Washington zilikuwa tayari zina mzozo baina yao.