-
Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran; kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu
Mar 08, 2019 11:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif ameichapisha tena barua ya wanasayansi 66 wa tiba wa Iran kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kuitaka jamii ya kimataifa ilaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran hususan katika sekta ya utabibu.
-
Jibu la Wairaqi kwa vita vya kinafsi vya Marekani dhidi ya makundi ya Muqawama
Mar 07, 2019 22:56Msemaji wa Harakati ya al Nujaba ya Iraq ametangaza kuwa, hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi ni vita vya kinafsi na haiwezi kubadili lolote.
-
Uturuki: Wanachama wa NATO wasiingilie maamuzi yetu juu ya ununuzi wa mfumo wa S 400
Mar 07, 2019 00:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amewataka wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) waache kuingilia kwa namna yoyote ile maamuzi yanayochukuliwa na serikali ya nchi hiyo.
-
Sisitizo la Ulaya la kulinda makubaliano ya JCPOA na kukosolewa uamuzi wa Marekani
Mar 06, 2019 23:22Hata kama makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, ni mapatano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani ilichukua uamuazi wa upande mmoja wa kujitoa katika mapatano hayo tarehe 8 mwezi Mei mwaka uliopita.
-
Zimbabwe yasikitishwa na vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake
Mar 06, 2019 10:21Zimbabwe imeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Marekani ya kurefusha vikwazo dhidi ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, inayokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi.
-
Trump awashambulia Wademocrati, asema ni vichaa na majnuni
Mar 06, 2019 03:53Rais Donald Trump wa Marekani amewatuhumu viongozi wa chama cha upinzani cha Democratic kuwa ni wendawazimu na kwamba wanambughudhi.
-
India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump
Mar 06, 2019 02:28Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza mashambulizi na vita vyake vya kibiashara dhidi ya mataifa mengine duniani kupitia kuziongezea ushuru bidhaa za kigeni zinazoingia Marekani na hivyo kusababisha vurugu kubwa katika miamala ya kibiashara ya kimataifa.
-
Makumi wakamatwa Marekani kwa kulalamikia mauaji ya kijana mweusi
Mar 05, 2019 11:01Makumi ya watu wametiwa mbaroni na polisi ya Marekani kwa kushiriki maandamano ya kupinga hatua ya Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali katika wilaya ya Sacramento jimboni California nchini humo, kuwaondolea mashitaka maafisa wa polisi waliommiminia risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa amejizatiti kwa silaha yoyote mwaka jana.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Mar 05, 2019 10:45Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Putin aamuru kusimamishwa kwa muda utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF
Mar 05, 2019 03:33Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuwa, Moscow itasimamisha utekelezaji wa Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati maarufu kwa kifupi kama INF.