Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rouhani: Marekani haiwezi kukata uhusiano wa Iran na nchi za dunia

    Rouhani: Marekani haiwezi kukata uhusiano wa Iran na nchi za dunia

    Dec 04, 2018 11:16

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haina uwezo wa kukata uhusiano wa Iran na nchi mbalimbali duniani.

  • Magaidi Syria wapokea 'drones' 100 za kufanya hujuma za kemikali Idlib

    Magaidi Syria wapokea 'drones' 100 za kufanya hujuma za kemikali Idlib

    Dec 04, 2018 11:13

    Kundi la kigaidi la Jabhatu Nusra la Syria limepokea ndege zisizo na rubani zipatazo 100 litakazozitumia kufanya mashambulizi ya kemikali za sumu katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Human Rights Watch yakosoa vitisho vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC

    Human Rights Watch yakosoa vitisho vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC

    Dec 03, 2018 23:40

    Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) amekosoa vitisho vya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na kusisitizia ulazima wa kukabiliana na vitisho hivyo.

  • Qassemi:

    Qassemi: "Mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya" unafuatiliwa

    Dec 03, 2018 12:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Mfumo maalumu kwa ajili ya mabadilishano ya fedha kati ya Iran na Ulaya kwa kifupi SPV ungali unaendelea kufuatiliwa; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshabainisha wazi mategemeo iliyonayo katika suala hilo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Marekani ndiyo mhusika wa mauaji ya raia na kuharibiwa nchi yetu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Marekani ndiyo mhusika wa mauaji ya raia na kuharibiwa nchi yetu

    Dec 02, 2018 12:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesisitiza kuwa Marekani imesababisha mauaji ya halaiki ya wananchi wa Yemen, kuharibiwa nchi hiyo na kujiri maafa mabaya zaidi ya kibinadamu kuwahi kushuhudiwa duniani hii leo.

  • Sheikh Naim Qassem: Marekani haiwezi kurejesha tena ushawishi wake Mashariki ya Kati

    Sheikh Naim Qassem: Marekani haiwezi kurejesha tena ushawishi wake Mashariki ya Kati

    Nov 30, 2018 11:40

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ndoto za Marekani za kutaka kurejesha tena nguvu na ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati zitaambulia patupu.

  • CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel

    CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel

    Nov 30, 2018 11:39

    Televisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mwandishi na mchambuzi wake kwa sababu ya kukosoa siasa za kikatili za utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Sisitizo la EU la kuhifadhiwa ushirikiano wake wa kiuchumi na Iran

    Sisitizo la EU la kuhifadhiwa ushirikiano wake wa kiuchumi na Iran

    Nov 30, 2018 03:57

    Umoja wa Ulaya mara kwa mara umekuwa ukisisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na sababu kuu ni nafasi muhimu na bora ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati ikiwa ni pamoja na nafasi yake bora katika upande wa jiopolitiki, kisiasa, kiuchumi na kinishati. Jambo jingine linalopewa umuhimu na Umoja wa Ulaya ni kulinda mapatano ya nyukilia ya JCPOA.

  • Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Nov 29, 2018 23:17

    Balozi wa Uingereza nchini Iraq Jonathan Wilks, ametoa matamshi muhimu kwa kukiri kwamba Qatar, Saudi Arabia na Imarati (UAE) ndio waliofadhili ugaidi nchini Iraq kwa kiwango kikubwa zaidi cha fedha.

  • Uharibifu na mauaji dhidi ya raia, matokeo ya muungano vamizi wa Kimarekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi

    Uharibifu na mauaji dhidi ya raia, matokeo ya muungano vamizi wa Kimarekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi

    Nov 28, 2018 09:43

    Makumi ya raia wengine wasio na hatia wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi jipya la anga la muungano vamizi wa Marekani eti wa mapambano dhidi ya ugaidi katika jimbo la Deir ez-Zor, mashariki mwa Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS