-
Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan
Nov 28, 2018 04:09Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umeonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya watoto wa Afghanistan, ambao wanakodolewa macho na ghasia na umwagaji damu kila uchao.
-
Ufaransa na Ujerumani kuwa wenyeji wa mfumo wa ubadilishanaji fedha na Iran
Nov 27, 2018 04:26Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Ulaya wameliambia gazeti la Wall Street Journal kuwa huenda Ufaransa na Ujerumani zikawa wenyeji wa mfumo maalumu wa ubadilishanaji fedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaojulikana kama SPV, kwa shabaha ya kukwepa vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran.
-
Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu
Nov 27, 2018 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonesha kughadhabishwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba taifa hili linanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.
-
Asasi 5 za kimataifa: Marekani itabeba dhima ya janga kubwa zaidi la njaa kuwahi kushuhudiwa duniani
Nov 26, 2018 23:11Asasi tano za kimataifa za ufikishaji misaada zinazofanya kazi ya kufikisha misaada ya kibinadamu nchini Yemen zimetahadharisha kuwa, kama Marekani haitositisha misaada na uungaji mkono wake kwa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen itabeba dhima na masuulia ya baa kubwa zaidi la njaa kuwahi kutokea katika miongo ya karibuni.
-
Hashdu sh-Sha'abi yafichua njama za Marekani za kutaka kushambulia ngome zake Iraq
Nov 26, 2018 01:04Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq kupitia mbunge mmoja wa nchi hiyo imeeleza kwamba, Marekani inapanga njama za kutekeleza shambulizi dhidi ya ngome na wapiganaji wake.
-
Iran ina haki ya kurutubuisha tena urani kama jibu kwa Marekani
Nov 25, 2018 04:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran ina haki ya kuimarisha urutubishaji urani katika vituo vyake vya nyuklia, kama radiamali kwa hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Magaidi wa US wawashambulia raia kwa silaha za gesi ya sumu Syria
Nov 25, 2018 04:34Watu zaidi ya 70 wamelazwa hospitalini baada ya magaidi wanaoungwa mkono na Marekani kutekeleza shambulizi la silaha za gesi ya sumu katika mji wa kaskazini mwa Syria wa Aleppo.
-
Qassemi: Marekani inafadhilisha mikataba ya silaha kuliko haki za binadamu
Nov 24, 2018 11:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani inafadhilisha mikataba ya uuzaji silaha kuliko haki za binadamu na hilo ni kinyume cha madai yake ya kutetea haki za binadamu.
-
Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran
Nov 24, 2018 08:18Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.
-
Brigedia Jenerali Salami: Marekani haina uwezo wa kupambana kijeshi na Iran
Nov 23, 2018 23:16Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kwamba, matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump, yanaonyesha kukata tamaa na woga wa hali ya juu ilionao nchi hiyo katika kukabiliana kijeshi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.