-
Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani
Nov 23, 2018 23:14Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu juhudi za Marekani za kutaka kuanzisha mazungumzo mapya na Iran kwa kusema kuwa, mapatano yaliyofikiwa ya JCPOA ni makubaliano mazuri na kwamba Iran haitofanya tena mazungumzo na Marekani kuhusu miradi yake ya nyuklia.
-
IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Nov 23, 2018 04:29Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kamanda Mkuu wa SEPAH: Matunda ya muqawama wa taifa la Iran ni kushindwa mtawalia Marekani
Nov 22, 2018 11:30Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, muqawama wa miaka 40 wa taifa la Iran umezaa matunda ya kufeli na kushindwa mfululizo Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Mbunge wa Marekani: Trump ni kijakazi cha Saudia
Nov 22, 2018 11:22Mbunge wa Kongresi ya Marekani amemtaja rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuwa ni kama kijakazi cha Saudi Arabia, kutokana na misimamo ya kuukingia kifua na kuutetea utawala wa Aal Saud.
-
Trump ana wasiwasi wa kuuliwa na askari wa Marekani walioko vitani
Nov 21, 2018 12:22Gazeti moja la nchini Uingereza limeandika sababu ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kukataa kuwatembelea askari wa nchi hiyo walioko katika maeneo tofauti yenye vita duniani, ni wasiwasi wake wa kuogopa kuuliwa na askari hao.
-
Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia
Nov 21, 2018 04:16Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) na Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) zimedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 37 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.
-
Washington Post: Mchakato wa kifo cha kisiasa cha Donald Trump umeanza
Nov 20, 2018 23:09Gazeti la Washington Post limeandika makala ya ripoti ya kuchunguza siasa za vituko za rais Donald Trump wa Marekani na kile lilichokieleza kama kifo cha kisiasa cha kiongozi huyo.
-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ugaidi wa kimataifa
Nov 20, 2018 11:57Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS nchini Lebanon amesema, Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuongoza ugaidi wa kimataifa na dhulma dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Marekani yaendelea kuisakama Korea Kaskazini, yamuwekea vikwazo anayeisaidia kununua mafuta
Nov 20, 2018 11:47Katika mwendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, Wizara ya Fedha ya nchi hiyo imemuwekea vikwazo mfanyabiashara mmoja wa Russia kwa tuhuma za kuidhaminia mafuta Pyongyang.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani havitaiburuza mezani Iran
Nov 20, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya kidhalmu vya Marekani katu haviwezi kuilazimisha Tehran iende kwenye meza ya mazungumzo wala kuifanya isalimu amri mbele ya matakwa ya Washington.