Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Makosa 6 makubwa ya kimkakati ya Marekani kuhusu Iran

    Makosa 6 makubwa ya kimkakati ya Marekani kuhusu Iran

    May 04, 2025 22:52

    Baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran, Marekani ikiwa kiongozi wa nchi za Magharibi, muda wote imekuwa ikilifanyia uadui taifa la Iran katika kipindi cha miaka 46 sasa ikiwa ni pamoja na kuliwekea vikwazo vikubwa kupindukia. Hata hivyo Washington imeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya Iran.

  • Katibu Mkuu wa UN: Akili Mnemba ni upanga wenye makali pande mbili, ina manufaa na madhara

    Katibu Mkuu wa UN: Akili Mnemba ni upanga wenye makali pande mbili, ina manufaa na madhara

    May 03, 2025 03:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, waandishi wa habari wanakabiliwa na hatari kila uchao na kwamba teknolojia mpya ya akili mnemba au AI inayotumika katika tasnia hiyo licha ya kuwa na manufaa inaibua hatari mpya pia kwenye uhuru wa kujieleza.

  • Iran yalaani jinai za kivita za Marekani nchini Yemen

    Iran yalaani jinai za kivita za Marekani nchini Yemen

    May 02, 2025 23:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei amelaani vikali wimbi la mashambulizi ya jeshi la Marekani katika muda wa saa 24 zilizopita katika maeneo mbalimbali ya majimbo ya Sana'a, Saada, na Al-Jawf nchini Yemen, yakilenga miundombinu na maeneo ya makazi ya Yemen.

  • Utendaji tata wa Trump katika siku 100 za kwanza za urais wake

    Utendaji tata wa Trump katika siku 100 za kwanza za urais wake

    May 02, 2025 09:29

    Zimepita siku 100 tangu Donald Trump aingie Ikulu ya White House nchini Marekani.

  •  Juhudi za Bunge la Marekani kuongeza bajeti ya silaha za nyuklia na kijeshi

    Juhudi za Bunge la Marekani kuongeza bajeti ya silaha za nyuklia na kijeshi

    May 01, 2025 23:32

    Ofisi ya Bajeti ya Bunge la Marekani (CBO), taasisi ya shirikisho isiyoegemea upande wowote, imetangaza kwamba ikiwa Marekani inataka kuendelea kutumia uwezo wa vikosi vyake vya silaha za nyuklia, itahitaji kuongeza bajeti yake kwa kiwango kikubwa.

  • Ismail Baqaei: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimegonga mwamba

    Ismail Baqaei: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimegonga mwamba

    May 01, 2025 10:03

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uraibu wa Marekani wa kuwekea vikwazo mataifa mengine na kubainisha kwamba, vikwazo vya Washington dhidi ya Tehran vimeshindwa na kutokuwa na natija.

  • Amnesty International: Siku 100 za kwanza za urais wa Trump zimekuwa janga kwa haki za binadamu

    Amnesty International: Siku 100 za kwanza za urais wa Trump zimekuwa janga kwa haki za binadamu

    Apr 30, 2025 03:20

    Katibu Mkuu wa Amnesty International ametangaza kuwa siku 100 za kwanza za urais wa Donald Trump zimekuwa janga kwa haki za binadamu nchini Marekani na kimataifa.

  • Euro-Med: Marekani inatenda kazi kama nguvu iliyo juu ya sheria nchini Yemen

    Euro-Med: Marekani inatenda kazi kama nguvu iliyo juu ya sheria nchini Yemen

    Apr 30, 2025 03:17

    Shirika la Kutetea Haki za Kibinadamu la Euro-Mediterania limesema kuwa Marekani inafanya kazi kama mamlaka iliyo juu ya sheria za kimataifa nchini Yemen na inakaidi kanuni za uwajibikaji wa kimataifa.

  • Misri yakosoa wito wa Trump wa kutaka meli za US kupita mfereji wa Suez bila malipo

    Misri yakosoa wito wa Trump wa kutaka meli za US kupita mfereji wa Suez bila malipo

    Apr 29, 2025 23:00

    Wito wa hivi karibuni wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kutaka meli za nchi hiyo zipitie bila malipo kwenye Mfereji wa Suez umezusha shutuma nyingi nchini Misri, ambapo wataalamu wa masuala ya sheria, viongozi wa kisiasa na wananchi wamekosoa vikali matamshi hayo, wakisema kuwa hayana msingi kisheria, na ni tishio kubwa kwa nidhamu ya kimataifa.

  • China: Kusalimu amri kutachochea zaidi uchu wa Marekani

    China: Kusalimu amri kutachochea zaidi uchu wa Marekani

    Apr 29, 2025 23:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kusalimu amri na kufikia makubaliano na Marekani katika vita vya kibiashara vya Washington hakutakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuchochea zaidi uchu na uroho wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS