-
White House: Trump angali anataka Canada iwe jimbo la 51 la Marekani
Apr 16, 2025 23:00Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani angali ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya nchi hiyo na kuigeuza kuwa jimbo la 51 la Marekani.
-
China: Hatuogopi kupigana vita vya kibiashara na Marekani
Apr 16, 2025 22:59China imeonya kwamba "haiogopi" kupigana vita vya kibiashara na Marekani, ikikariri wito wa mazungumzo baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kusema kwamba Beijing lazima ichukue hatua ya kwenda kwenye meza ya mazungumzo.
-
Kiwewe cha Trump kwa hatua za China: Juhudi za Beijing za kuunda muungano dhidi ya Washington
Apr 16, 2025 22:58Rais wa Marekani Donald Trump ameshindwa kuficha kiwewe chake kwa kusema kuwa ziara ya Rais Xi Jinping wa China nchini Vietnam inalenga kuiharibia jina Marekani, huku kukiwa na ongezeko la vita vya ushuru kati ya Washington na Beijing.
-
CHADEMA: Haki ya kikatiba haiwezi kuondolewa na kanuni za Tume ya Uchaguzi ya Tanzania
Apr 16, 2025 08:01Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema kutenguliwa kwake katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ni kinyume cha katiba. Kauli hiyo imetolewa siku chache baada ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini.
-
White House: Trump angali anataka Canada iwe jimbo la 51 la Marekani
Apr 16, 2025 08:00Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani angali ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya nchi hiyo na kuigeuza kuwa jimbo la 51 la Marekani.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudia wajadili mazungumzo ya Oman
Apr 15, 2025 04:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wamefanya mazungumzo ya simu na kujadiliana kuhusu uhusiano wa pande mbili na maendeleo ya kikanda na kimataifa.
-
Gazeti la US Today: Uchumi wa Marekani umekwama au unakaribia kwenye mdororo
Apr 14, 2025 23:44Gazeti la US Today la Marekani limeandika kuwa utabiri unaonyesha kuwa ukuaji uchumi wa Marekani utakabiliwa na mkwamo au unakaribia kudorora licha ya kusimamishwa kwa ushuru wa Trump.
-
Iran: Mazungumzo ya Oman ni chanya na ya matumaini; kuendelea wiki ijayo
Apr 12, 2025 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ameitaja duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani kuwa "chanya na yenye kuleta matumaini."
-
CNN: Uvumilivu wa Wamarekani kwa Tel Aviv unaisha
Apr 12, 2025 22:50Chanzo makini kimetangaza kuwa, subira ya Wamarekani kwa vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel inakwisha.
-
Iran: Tunataka makubaliano ya haki, heshima na usawa; Israel yaingiwa na kiwewe
Apr 12, 2025 08:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu inataka makubaliano ya haki na ya heshima, na yaliyojadiliwa kwenye mazingira ya usawa. Sayyid Araghchi amesema hayo kabla ya kuanza mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na wawakilishi wa Marekani.