Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mzayuni mwenye misimamo mikali atupwa nje ya ndege baada ya kuivunjia heshima Palestina + Video

    Mzayuni mwenye misimamo mikali atupwa nje ya ndege baada ya kuivunjia heshima Palestina + Video

    Jan 07, 2025 10:05

    Abiria wa kiyahudi mwenye misimamo ya kufurutu ada amefukuzwa na kushushwa kwenye ndege ya shirika la ndege la American Airlines baada ya kuvunjia heshima nembo ya mshikamano na Wapalestina.

  • CNN: Hofu ya kukamatwa katika mataifa mengine inawatia kiwewe wanajeshi wa Israel

    CNN: Hofu ya kukamatwa katika mataifa mengine inawatia kiwewe wanajeshi wa Israel

    Jan 07, 2025 04:08

    Televisheni ya CNN ya Marekani imetangaza katika ripoti yake kuwa kufuatia malalamiko ya mahakama ya Brazil dhidi ya mwanajeshi wa Israel anayekabiliwa na tuhuma za kutenda jinai za kivita, askari wa utawala wa Kizayuni wanakabiliwa na hatari ya kukamatwa na kufunguliwa mashtaka katika nchi nyingine, jambo ambalo limezua taharuki miongoni mwa maafisa wa serikali ya Tel Aviv.

  • Onyo kuhusu athari za kiusalama za mpasuko wa anga ya kisiasa ya Marekani

    Onyo kuhusu athari za kiusalama za mpasuko wa anga ya kisiasa ya Marekani

    Jan 06, 2025 23:10

    Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani NBC imeandika katika ripoti yake kuhusu suala la kushamiri itikadi kali katika anga ya mtandaoni, ikionya kuhusu madhara ya usalama ya mpasuko wa nga ya kisiasa ya Marekani.

  • Waasi wa M23 wauteka mji wa Masisi mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Waasi wa M23 wauteka mji wa Masisi mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Jan 05, 2025 23:33

    Vikosi vya kundi la waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, vimeuteka mji wa Masisi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kuendelea misaada ya silaha ya Marekani kwa Israel

    Kuendelea misaada ya silaha ya Marekani kwa Israel

    Jan 05, 2025 23:32

    Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi Gaza zinaendelea kwa kuungwa mkono wa nchi za Magharibi hususan Marekani.

  • Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani

    Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani

    Jan 03, 2025 00:16

    Viongozi wa nchi za Ulaya, wameendelea kuonyesha sura zao za kinafiki, kwa kukaa kimya kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza, huku wakikimbilia kutuma ujumbe wa rambirambi kutokana na hujuma ya gari iliyotokea Marekani.

  • Vikwazo vipya vya Washington dhidi ya Iran na Russia kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi wa Marekani

    Vikwazo vipya vya Washington dhidi ya Iran na Russia kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi wa Marekani

    Jan 02, 2025 08:46

     Wizara ya Hazina ya Marekani ilitangaza katika taarifa yake Jumanne iliyopita kuwa: "Idara ya Udhibiti wa Mali za Kigeni (OFAC) imeiwekea vikwazo taasisi tanzu ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) na shirika tanzu la Idara ya Ujasusi ya Russia (GRU) yenye makao yake makuu mjini Moscow na mkurugenzi wake.

  • Shambulio linalohusishwa na ISIL (ISIS) laua watu wapatao 15 mjini New Orleans, Marekani

    Shambulio linalohusishwa na ISIL (ISIS) laua watu wapatao 15 mjini New Orleans, Marekani

    Jan 02, 2025 03:18

    Watu wasiopungua 15 wameuawa na wengine wapatao 35 wamejeruhiwa katika shambulio la gari na bunduki lililotokea usiku wa manane wa kuamkia jana katika mji wa New Orleans nchini Marekani kwenye eneo la barabara ambapo sherehe za mwaka mpya zilikuwa zikifanyika.

  • Taifa kubwa lenye mamia ya maelfu ya watu wasio na makazi

    Taifa kubwa lenye mamia ya maelfu ya watu wasio na makazi

    Dec 30, 2024 23:12

    Hali ya kiuchumi na kijamii imekuwa ngumu zaidi kwa raia wa Marekani, na idadi ya watu wasio na makazi katika nchi hiyo imefikia rekodi ya kihistoria katika miaka ya hivi karibuni.

  • Baada ya Israel kuichoma moto hospitali kuu ya kaskazini ya Ghaza, yamkamata mkurugenzi na wafanyakazi wake

    Baada ya Israel kuichoma moto hospitali kuu ya kaskazini ya Ghaza, yamkamata mkurugenzi na wafanyakazi wake

    Dec 28, 2024 10:42

    Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa askari wa jeshi la utawala w Kizayuni wa Israel wamemkamata Hussam Abu Safiya, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Ghaza, na wafanyakazi wengine mapema leo, siku moja baada ya askari wa jeshi hilo kuichoma moto hospitali hiyo, ambayo ndicho kituo kikuu pekee cha afya katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS