-
Kan'ani: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia ni kitendo cha jinai
Aug 14, 2023 10:27Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia katika haram ya Ahlul Bayt ni kitendo cha kijinai.
-
Kukataa Misri ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine
Aug 13, 2023 07:01Misri imekataa ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine ikiwa ni katika sehemu ya mkakati wa Cairo ya kutopendelea upande wowote kwenye vita vya Ukraine na Russia.
-
Damascus: Marekani imefanya uhalifu mpya dhidi ya jeshi la Syria
Aug 13, 2023 04:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa Marekani imezidisha vitendo uhalifu na jinai mpya za katika nchi hiyo.
-
Mapatano madhubuti ya Iran kuhusu kuachiliwa mali zake na kubadilishana wafungwa na Marekani
Aug 12, 2023 04:46Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusu kuachiwa mali za Iran na pia kufunguliwa wafungwa wake kadhaa waliokuwa wamezuiliwa na Marekani kinyume cha sheria.
-
Afrika Kusini: Tutaendelea kutumia teknolojia ya China licha ya mashinikizo ya US
Aug 08, 2023 04:05Afrika Kusini imesema itaendelea kustafidi na teknolojia ya shirika la China la Huawei licha ya kushinikizwa na Marekani iachane na kampuni hiyo.
-
Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe
Aug 05, 2023 22:59Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amemtuhumu aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump kwamba alikuwa mstari wa mbele katika kupanga njama iliyofeli ya kuuawa kiongozi huyo wa Amerika ya Latini.
-
Sisitizo la Rais wa Brazil la kupigwa teke sarafu ya dola katika biashara za kimataifa
Aug 05, 2023 00:26Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil ametaka kupigwa teke na kuwekwa pembeni matumizi ya sarafu ya dola katika biashara za kimataifa na kutafutwa sarafu nyingine za kuziba nafasi ya sarafu hiyo ya Marekani.
-
Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo
Aug 04, 2023 04:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya matatizo mbalimbali ya kiusalama na kiuchumi yanayozisumbua nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan
Aug 04, 2023 04:21Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipa Taiwan msaada wa silaha wa mamilioni ya dola ikisisitiza kuwa, Washington inakitumia kisiwa hicho kinachojitawala kushadidisha taharuki na kuchochea moto wa vita katika eneo.
-
Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa
Aug 03, 2023 23:27Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, wakitaka kufukuzwa nchini humo mara moja wanajeshi wa Marekani na Ufaransa.