-
Matukio ya ufyatuaji risasi yaongezeka US; 25,000 wameuawa 2023
Aug 01, 2023 22:49Taasisi ya kukusanya data zinazohusiana na matukio ya ufyatulianaji risasi nchini Marekani imetangaza kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2023 hadi sasa, zaidi ya watu 25,000 wameuawa kwa silaha za moto kote nchini humo.
-
Serikali ya San'aa: Marekani haitaki vita vikomeshwe nchini Yemen
Jul 31, 2023 22:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa Marekani haitaki kusimamishwa vita katika nchi hiyo.
-
Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan
Jul 30, 2023 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeonya kuhusu athari mbaya za ufisadi wa kiserikali nchini Ukraine kutokana na misaada isiyo na mahesabu ya kiuchumi inayomiminiwa nchi hiyo ya Ulaya Mashariki.
-
Biden: Kuna uwezekano wa Saudia na Israel kuanzisha rasmi uhusiano wao
Jul 29, 2023 07:12Rais wa Marekani, Joe Biden kwa mara nyingine tena amedokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa Saudi Arabia kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Nchi kufanywa “Mbuzi wa Azazeli”; mkakati wa Marekani katika sera ya kigeni
Jul 28, 2023 23:20Mojawapo ya mikakati ya Marekani katika sera zake za mambo ya nje ni kuzitoa mhanga nchi mbalimbali hasa zile zisizofuata na kwenda sambamba na sera na mitazamo yake.
-
Khumsi (moja ya tano) ya uchumi wa dunia yawekewa vikwazo na Marekani
Jul 27, 2023 04:07Licha ya kuwa vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali dfuniani ni mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi na viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza nchi tofauti kufuata siasa zao za ubabe, lakini mbinu hii imekuwa na matokeo hasi kwa Washington katika kipindi cha muda mrefu.
-
Russia: Dunia haiwezi tena kuvumilia sera za kutii amri za Marekani
Jul 25, 2023 03:38Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema dunia ya sasa haivumilii tena sera za kufuata amri za Marekani na inaelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa, mchakato ambao haukubaliwi na nchi za Magharibi.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia: Marekani inahusika katika uhalifu wa mauaji ya mwandishi habari Mrussia
Jul 24, 2023 07:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inahusika katika uhalifu mpya wa Ukraine wa mauaji ya mwandishi wa habari wa Russia kwa kutuma mabomu ya vishada nchini Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Hungary: Marekani haikubali kuwa imeshindwa na China, inaweza ikaanzisha vita
Jul 23, 2023 09:54Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban ametoa tahadhari kuhusu kile alichokiita vita "visivyoweza kuepukika" kutokea kati ya Washington na Beijing kwa sababu Marekani inasitasita kukubali kuwa China ndilo dola lenye nguvu zaidi kwa sasa.
-
Taliban: Hatuhitaji kufanya mazungumzo wala kuwa na ushirikiano wowote na Marekani
Jul 22, 2023 22:47Waziri wa Ulinzi wa serikali ya Taliban amekanusha madai ya kuwepo mtandao wa Al-Qaeda nchini Afghanistan na kusema, "sisi hatuhitaji kufanya mazungumzo yoyote au kuwa na ushirikiano wowote na Marekani.