-
Marekani yaona fahari kutumiwa silaha zake haramu za vishada Ukraine
Jul 21, 2023 04:19Marekani imepongeza na kusifu uamuzi wake wa kutuma mabomu yaliyopigwa marufuku kimataifa ya vishada nchini Ukraine.
-
Wamarekani: Biden na Trump hawafai kuingoza tena Marekani
Jul 21, 2023 04:11Aghalabu ya wananchi wa Marekani wanaamini kuwa, Rais wa sasa wa nchi hiyo, Joe Biden na mtangulizi wake, Donald Trump hawastahili kuiongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine.
-
Wamarekani weusi, wahanga wa kwanza wa ubaguzi katika ajira
Jul 20, 2023 23:05Takwimu za hivi karibuni nchini Marekani zinaonyesha kuwa, watu weusi wanaunda asilimia 90 ya wafanyakazi walioachishwa kazi mwaka huu kutokana na kuongezeka kwa hofu ya mdororo wa kiuchumi na sera ya makampuni mengi ya kupunguza wafanyakazi.
-
Moscow: Marekani inawafanya Waafrika kuwa 'panya wa maabara'
Jul 19, 2023 23:15Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Kibaolojia cha Russia amefichua kuwa Marekani inawafanya Waafrika kuwa panya wa maabara na kwamba inawatumia watu wa bara hilo kufanyia majaribio dawa za kemikali.
-
Korea Kaskazini yavurumisha makombora kujibu uchokozi wa Marekani
Jul 19, 2023 06:39Korea Kaskazini imevurumisha makombora mawili ya balestiki kuelekea Bahari ya Mashariki kujibu chokochoko za Marekani.
-
Safari ya John Kerry mjini Beijing: Jitihada za kuzuia ukaribu wa China na Russia
Jul 18, 2023 01:49John Kerry, mwanadiplomasia mkongwe na mwakilishi maalum wa Marekani katika masuala ya tabianchi aliwasili China Jumapili.
-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa hatua ya Ulaya ya kuifuata kibubusa Marekani
Jul 17, 2023 22:57Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali kutokuwa huru nchi za Ulaya na kuwa tayari nchi hizo kutekeleza kibubusa amri na maagizo ya Marekani.
-
Kuongezeka upinzani wa ndani kwa sera ya Biden kuhusu vita vya Ukraine
Jul 15, 2023 23:22Licha ya msisitizo wa hivi majuzi wa Rais wa Marekani, Joe Biden, wa kuendelea kutoa misaada ya silaha ya Marekani kwa Ukraine sambamba na kuendelea kwa vita vya umwagaji damu nchini humo, katika uwanja wa siasa za ndani za Marekani kunashuhudia ungezeko kubwa la upinzani dhidi ya mbinu ya kuchochea vita za serikali ya Biden.
-
Wairaqi walaani njama za Marekani za kutaka kuwaua viongozi wa muqawama
Jul 15, 2023 03:18Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad, kupinga na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo, na vile vile njama za Washington za kutaka kuwaua kigaidi viongozi wa kambi ya muqawama nchini humo.
-
Kukiri Marekani kwamba hakuna mpango wa nyuklia wa kijeshi unaoendeshwa ndani ya Iran
Jul 11, 2023 23:04Licha ya madai ya mara kwa mara ya nchi za Magharibi hususan Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba Iran inafanya juhudi za kujipatia silaha za nyuklia, taasisi kuu ya intelijensia ya Marekani imeikiri kuwa Iran haijihusishi na uundaji wa silaha za nyuklia.