• Siku  500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Siku 500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Jul 10, 2023 09:30

    Vita vya Ukraine vimepitisha siku 500 tangu kuanza na hakuonekani matarajio ya kumalizika vita hivyo vya umwagaji damu barani Ulaya. Vita hivyo ambavyo awali ilidhaniwa kwamba huwenda vingechukua muda mfupi na kumalizka haraka, sasa vimekuwa mapigano ya kijeshi ya muda mrefu na ya umwagaji damu.

  • Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine

    Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine

    Jul 09, 2023 07:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mpango wa Marekani wa kutuma nchini Ukraine mabomu 'yaliyopigwa marufuku ya vishada na kusisitiza kuwa, Washington inafanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa vita vya Ukraine havimaliziki haraka.

  • Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jul 08, 2023 23:08

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kisiasa, amehutubia kikao cha Baraza la Usalama cha kukagua utekelezwaji wa azimio nambari 2231, na kuelezea kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chaguo bora zaidi la kuhakikisha "hali ya amani ya mpango wa nyuklia wa Iran."

  • Trump: Rais Biden ni mraibu wa mihadarati ya cocaine

    Trump: Rais Biden ni mraibu wa mihadarati ya cocaine

    Jul 06, 2023 23:39

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amedai kuwa Rais Joe Biden wa nchi hiyo ni mtumiaji wa mihadarati aina ya cocaine, na kwamba vyombo vya habari vya nchi hiyo vinajaribu kufifiliza kashfa ya kupatikana dawa hiyo ya kulevya ndani ya Ikulu ya White House.

  • Marekani inataka kutuma Ukraine mabomu 'haramu' ya vishada

    Marekani inataka kutuma Ukraine mabomu 'haramu' ya vishada

    Jul 06, 2023 23:39

    Licha ya marufuku ya kimataifa ya matumizi ya mabomu ya vishada, lakini Marekani inatafakari juu ya uwezekano wa kutuma silaha hizo haramu nchini Ukraine.

  • Marekani; tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia

    Marekani; tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia

    Jul 05, 2023 22:48

    Richard Haas, mwandishi na mchambuzi mashuhuri wa Marekani ametoa matamshi tata na kueleza kwamba, Marekani imebadilika na kuwa, chanzo kikuu cha ukosefu wa utulivu duniani na nchi hii ndiyo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia.

  • Sakata: Cocaine ya Hunter Biden yapatikana ndani ya Ikulu ya Marekani

    Sakata: Cocaine ya Hunter Biden yapatikana ndani ya Ikulu ya Marekani

    Jul 05, 2023 07:45

    Ikulu ya White House ya Marekani imekumbwa na sakata jingine, baada ya kifurushi cha mihadarati aina ya cocaine kinachoripotiwa kuwa cha Hunter Biden, mtoto wa Rais wa Marekani, Joe Biden kupatikana ndani eneo la West Wing katika makazi hayo rasmi ya rais.

  • China yakosoa mauzo mapya ya silaha za Marekani kwa Taiwan

    China yakosoa mauzo mapya ya silaha za Marekani kwa Taiwan

    Jul 05, 2023 06:29

    China imekosoa vikali mpango mpya wa serikali ya Marekani wa kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya mamilioni ya dola, ikisisitiza kuwa mauzo hayo yanakiuka kanuni ya "China Moja".

  • Maveterani wa Marekani wawataka jamaa zao wasijiunge na jeshi la nchi hiyo

    Maveterani wa Marekani wawataka jamaa zao wasijiunge na jeshi la nchi hiyo

    Jul 02, 2023 23:19

    Maveterani wa vita vya nje ya Marekani wameripotiwa kuwaasa jamaa zao kutojiunga na jeshi la nchi hiyo, wakati huu ambapo nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa vijana kukataa kujiunga na vikosi hivyo vya ulinzi.

  • Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Jul 01, 2023 07:06

    Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alifanya safari ya siri nchini Ukraine, siku chache kabla ya kufanyika uasi wa kundi la Wagner dhidi ya serikali ya Russia mnamo Juni 24.