-
Marekani yatetea kuchomwa moto Qurani Sweden, UN yalaani
Jul 01, 2023 06:44Huku ulimwengu wa Kiislamu ukiendelea kulaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu huko nchini Sweden, Marekani imetoa taarifa inayoonekana kuunga mkono na kuhalalisha kitendo hicho cha kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Waislamu.
-
China: Marekani ituondolee vikwazo iwapo inataka mazungumzo ya kijeshi
Jun 29, 2023 23:54Beijing imesema serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani sharti iiondolee China vikwazo iwapo inataka kufanyike mazungumzo ya ngazi ya juu ya kijeshi baina ya madola hayo mawili makubwa.
-
Afisa wa Yemen: Tulikomesha wizi wa mafuta uliofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa
Jun 28, 2023 09:45Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Kitaifa ya Wokovu wa Yemen amejibu kauli iliyotolewa na mabalozi wa Ufaransa, Uingereza na Marekani akisisitiza kuwa, kinyume na madai yaliyotolewa katika taarifa yao, Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen haikuzuia mauzo ya mafuta nje ya nchi, lakini ilizuia wizi wa bidhaa hiyo.
-
Kan'ani: Mtazamo, misimamo ya Iran kwa Marekani haibadiliki
Jun 26, 2023 07:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mtazamo na misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu kwa Marekani ipo wazi kabisa na haibadiliki, na inaweza kubadilika tu iwapo Washington itakomesha kikamilifu mienendo yake ya kiuhasama dhidi ya taifa hili.
-
Chokochoko mpya zilizoanzishwa na Biden kuhusiana na China
Jun 22, 2023 22:57Rais Joe Biden wa Marekani siku ya Jumanne wiki hii alimfananisha mwenzake wa China, Xi Jinping na madikteta.
-
Mtoto wa miaka 2 ampiga risasi mamake mjamzito Marekani
Jun 22, 2023 03:14Mama mjamzito ameaga dunia nchini Marekani baada ya kupigwa risasi na mtoto wake wa miaka miwili katika jimbo la Ohio.
-
China yamshambulia Biden kwa kudai kuwa Rais Xi ni dikteta
Jun 21, 2023 23:04Beijing imekosoa vikali matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani aliyedai kuwa Rais Xi Jingping wa China ni dikteta.
-
Mwito wa Russia wa uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Jun 20, 2023 23:11Ujumbe wa Russia umetoa mwito wa kuendelea kukusanywa taarifa na uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na Marekani nchini Afghanistan. Mwito huo umetolewa katika kikao cha 53 cha Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa,
-
Takwa la Rais wa Ufaransa kwa Ulaya la kujiepusha na utegemezi wa kijeshi kwa Marekani
Jun 20, 2023 08:33Jumatatu ya jana tarehe 19 Juni, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alizitaka nchi za Ulaya kutafuta uhuru zaidi katika ulinzi wa anga zao na kuacha kuwa tegemezi kupita kiasi kwa Marekani.
-
Safari ya kwanza ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani nchini China baada ya miaka mitano
Jun 19, 2023 09:41Anthony Blinken Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani Jumapili ya jana tarehe 18 Juni aliwasili Beijing mji mkuu wa China, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya nchi mbili hizo ambao umezitia wasiwasi nchi nyingi.