-
NYT: Risasi iliyomuua Shireen Abu Akleh ilifyatuliwa na askari wa Kikosi cha Maalumu cha Israeli
Jun 21, 2022 02:39Uchunguzi mpya wa gazeti la Marekani la New York Times umethibitisha kuwa risasi iliyomuua mwandishi wa habari wa televisheni ya Al Jazeera ya Qatar, Shireen Abu Akleh, ilifyatuliwa na mwanajeshi wa kikosi maalumu cha Israel, katika eneo ambalo halikuwa na mwanamgambo hata mmoja wa Kipalestina.
-
Watu 1400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng nchini Afrika Kusini
Jun 15, 2022 11:56Polisi ya Afrika Kusini imesema watu zaidi ya 1,400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng ulioko kaskazini mashariki mwa nchi katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu 2022.
-
UN: Mauaji mapya ya kikabila nchini Sudan yameua watu 145
Jun 15, 2022 11:49Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliouawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila huko Sudan imeongezeka na kufikia 145.
-
Watu 20 wauawa katika shambulizi la ADF mashariki ya DRC
Jun 07, 2022 08:08Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Tutalipiza kisasi cha Shahidi Sayyad Khodaei kwa utawala wa Kizayuni
May 31, 2022 03:13Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amesema: "Tutalipiza kisasi kwa utawala wa Kizayuni cha damu ya Shahidi Hassan Sayyad Khodaei."
-
Kadhaa wauawa katika shambulio la waasi Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Mar 25, 2022 14:24Watu wasiopungua watano wameuawa baada ya genge moja la waasi kushambulia kambi ya jeshi huko mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Ethiopia kuwachukulia hatua wahalifu waliowachoma raia wakiwa hai, baadhi walikuwa na sare za jeshi
Mar 13, 2022 02:24Serikali ya Ethiopia ilisema jana Jumamosi kwamba itawachukulia hatua wahusika baada ya mkanda wa video kuonekana kwenye mitandao ya kijamii ukiwaonyesha watu wenye silaha, baadhi wakiwa wamevalia sare za kijeshi, wakiwachoma moto raia hadi kufa katika eneo la Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mwanaharakati wa Saudia: Sina amani, naandamwa na makachero wa Bin Salman
Feb 28, 2022 13:14Wakati vyombo vya habari vya Saudia na makampuni ya mahusiano ya umma katika nchi za Magharibi, yaliajiriwa na serikali ya Riyadh yakiendelea kusafisha na kupendezesha sura ya mrithi wa ufalme wa Saudia, Mohammed bin Salman, iliyochafuliwa na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi, mwanaharakati wa Kisaudia Alya Alhwaiti anayeishi London, amelipua bomu baada ya kufichua kwamba alipokea vitisho vya kuuawa.
-
Watu 60 wauawa katika shambulio la wabeba silaha DRC
Feb 03, 2022 02:28Kwa akali watu 60 wameuawa katika shambulio la kundi moja la wabeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Waziri wa Sheria wa Libya anusurika kuuawa katika shambulio la watu wenye silaha
Jan 29, 2022 08:16Vyombo vya habari vimetangaza kuwa Waziri wa Sheria wa Libya amenusurika kuuawa katika shambulio la watu wenye silaha lililotokea kwenye barabara ya As-Sawani katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.