-
Mfalme wa zamani wa Uhispania akimbia nchi kwa kashfa ya mlungula wa Saudi Arabia
Aug 04, 2020 03:33Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos ameondoka nchini humo na kuelekea kusikojulikana wiki kadhaa baada ya kuhusishwa na ufisadi na kashfa ya kupokea mlungula kutoka kwa mfalme wa zamani wa Saudi Arabia.
-
Seneta Sanders: Viongozi wa Saudi Arabia ni 'wauaji na majambazi'
Feb 20, 2020 00:54Seneta wa Marekani, Bernie Sanders anayeongoza katika kinyang'anyiro cha kuwania tiketi ya chama cha Domocratic kwa ajili ya kugombea kiti cha rais wa nchi hiyo ameikosoa Saudi Arabia katika kampeni zake huko Las Vegas na kuwaita viongozi wa nchi hiyo kuwa ni 'wauaji na majambazi'.
-
2019, mwaka wa kunyongwa watu zaidi nchini Saudi Arabia
Jul 12, 2019 01:27Vyombo vya habari vimeripoti kuwa kesi za kunyongwa watu nchini Saudi Arabia zimeongezeka mara mbili katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2019.
-
Bin Salman amtia mbaroni rafiki wa karibu wa baba yake kwa kumkosoa
Jun 24, 2019 03:23Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia amemtia mbaroni Nayef bin Hathleen, mmoja wa viongozi wa makabila ya Saudia na rafiki wa karibu wa Mfalme Salman bin Abdulaziz wa nchi hiyo baada ya Hathleen kuandika barua ya kumpa nasaha mfalme wa nchi hiyo.
-
Ripoti: Hali ya afya ya Mfalme Salman wa Saudi Arabia ni mbaya
Sep 05, 2018 02:58Baadhi ya duru za habari zimeripoti kuwa hali ya afya ya Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ni mbaya.
-
Mfalme wa Saudia akariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran
Apr 15, 2018 23:48Mfalme wa Saudi Arabia kwa mara nyingine amekariri madai yasiyo na msingi na kudai kuwa eti Iran inaingilia mambo ya ndani ya Yemen na kuwa inaunga mkono ugaidi.
-
Mfalme Salman ajaribu kusafisha sura ya Saudia kwa kujipambanua na sera za mwanawe
Feb 22, 2018 10:50Mfalme Salman wa Saudi Arabia amekutana na kufanya mazungumzo na wapwa zake Mut'ab bin Abdullah na Walid bin Talal wanaoshikiliwa kwenye hoteli ya Ritz Carlton ikiwa ni hatua ya kujaribu kusawazisha hali ya mambo iliyovurugika kutokana na uendeshaji mbovu wa mwanawe Muhammad ambaye pia ni mrithi wa ufalme wa nchi hiyo.
-
Mfalme wa Saudia akabidhi uongozi wa nchi kwa mwanaye
Jul 25, 2017 03:40Ofisi ya Mfalme wa Saudia imemtaka Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud kijana na mrithi mpya wa kiti cha ufalme kushika hatamu za uongozi wa nchi, wakati wote wa safari nje ya nchi au kutokuwepo Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud.
-
Al Manar: Maandalizi ya kung'atuka Mfalme Salman Saudia yamekamilika
Jul 24, 2017 10:29Gazeti la Lebanon la al-Manar limeandika kuwa, maandalizi ya mwisho ya kung'atuka mfalme mzee wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz Al Saud kwa maslahi ya mwanaye Mohammad Bin Salman, yamekamilika.
-
Malalamiko ya Wasaudia yamfanya mfalme amchukulie hatua mwanamfalme
Jul 20, 2017 09:39Kitendo cha kuenea video inayomuonyesha mwanamfalme mmoja akifanya ukatili dhidi ya raia wa Saudia, kimeibua hasira kali na ukosoaji mkubwa wa Wasaudi katika mitandao mbalimbali ya kijamii hususan Twitter, na hivyo kumfanya Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud kutoa amri ya kutiwa mbaroni mwanamfalme huyo.