Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mfalme wa Saudia

  • Mapinduzi laini, Mfalme wa Saudia ampiga kalamu nyekundu mrithi wake na kumteua mwanawe

    Mapinduzi laini, Mfalme wa Saudia ampiga kalamu nyekundu mrithi wake na kumteua mwanawe

    Jun 21, 2017 03:09

    Mfalme wa Saudi Arabia, Salman Bin Abdulaziz Aal-Saud amemfuta kazi mrithi wake Mohammed Bin Nayef bin Abdulaziz Aal-Saud na kumteua mwanawe wa kiume Mohammad Bin Salman Aal-Saud, kushika nafasi hiyo.

  • Al Sisi: Mfalme wa Saudia aiombe radhi Misri

    Al Sisi: Mfalme wa Saudia aiombe radhi Misri

    Nov 14, 2016 23:21

    Rais wa Misri amesema kuwa anataka Mfalme wa Saudi Arabia aiombe radhi Misri kama sharti la kuweza kuzisuluhisha Cairo na Riyadh.

  • Kukiri rasmi Saudia kuhusu matatizo ya kifedha yanayoiandamana

    Kukiri rasmi Saudia kuhusu matatizo ya kifedha yanayoiandamana

    Nov 14, 2016 00:36

    Baada ya kuenea ripoti mbalimbali za kimataifa juu ya kupungua pato la fedha linalotokanal na mafuta, hatimaye Waziri wa Fedha wa Saudia ametangaza rasmi kuwa, hivi sasa serikali ya nchi hiyo inadaiwa mamilioni ya Dola kutokana na mgogoro wa fedha.

  • Saudia yasimamisha kuwapa viza raia wa Misri

    Saudia yasimamisha kuwapa viza raia wa Misri

    Oct 28, 2016 04:33

    Katika hali inayoonekana ni kuongezeka mzozo baina ya Riyadh na Cairo, Saudi Arabia imechukua hatua mpya ya kushangaza ya kusimamisha kutoa viza kwa raia wa Misri.

  • Mwanasiasa Misri: Kupunguzwa mishahara ya wafanyakazi Saudia ni natija ya kufilisika uchumi wake

    Mwanasiasa Misri: Kupunguzwa mishahara ya wafanyakazi Saudia ni natija ya kufilisika uchumi wake

    Sep 28, 2016 10:41

    Mtaalamu wa masuala ya kisiasa katika kituo cha utafiti wa kistratijia na kisiasa cha al-Ahram nchini Misri amesema kuwa, mdororo wa uchumi duniani, umeisababishia matatizo makubwa ya kiuchumi Saudi Arabia.

  • Watu 20 wauawa katika mashambulio ya Saudi Arabia nchini Yemen

    Watu 20 wauawa katika mashambulio ya Saudi Arabia nchini Yemen

    Aug 31, 2016 08:53

    Watu wasiopungua 20 wameuawa nchini Yemen na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulio mapya ya anga ya Saudi Arabia katika nchi hiyo.

  • Mfamle wa Saudia awapa 'bonasi' askari wanaoua raia Yemen

    Mfamle wa Saudia awapa 'bonasi' askari wanaoua raia Yemen

    Aug 15, 2016 03:30

    Mfalme wa Saudi Arabia ametangaza kuwapa marupurupu askari vamizi wanaotekeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya raia wa kawaida nchini Yemen.

  • Mfalme wa Saudia akumbwa na matatizo ya kiakili, haruhusiwi kuona wageni

    Mfalme wa Saudia akumbwa na matatizo ya kiakili, haruhusiwi kuona wageni

    Jun 01, 2016 23:03

    Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amekumbwa na maradhi mabaya mno ya kiakili kiasi kwamba wageni wanazuiwa kumtembelea. Mwanae Mfalme Salman ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na Naibu Mrithi Kiti cha Ufalme, Mohammad bin Salman ametoa amri ya kupiga marufuku wageni kumtembelea baba yake ambaye ana maradhi sugu ya kiakili.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS