Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Umuhimu wa mkutano wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni

    Umuhimu wa mkutano wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni

    Dec 06, 2018 02:39

    Mkutano wa 92 wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni umefanyika katika makao makuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mjini Cairo Misri na kushirikishwa wawakilishi kutoka nchi za Kiarabu na wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.

  • Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo kingine cha maisha jela

    Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo kingine cha maisha jela

    Dec 05, 2018 23:16

    Katika mwendelezo wa utoaji hukumu za adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin, mahakama ya Misri imemhukumu Muhammad Badie na washtakiwa wengine watano hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi nyingine iliyokuwa ikiwakabili.

  • Misri na Saudia zasema mzingiro dhidi ya Qatar utaendelea

    Misri na Saudia zasema mzingiro dhidi ya Qatar utaendelea

    Nov 28, 2018 04:11

    Saudi Arabia na Misri zimesema mzingiro na vikwazo zilivyoiwekea Qatar kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa vitaendelea kwa muda usiojulikana, licha ya Doha kuwasilisha lalama zake mbele ya mahakama za kimataifa na taasisi za Umoja wa Mataifa ili kushinikiza kuhitimishwa mzingiro huo.

  • Sudan na Misri zaafiki doria ya pamoja mpakani kukabiliana na ugaidi

    Sudan na Misri zaafiki doria ya pamoja mpakani kukabiliana na ugaidi

    Nov 26, 2018 04:47

    Sudan na Misri zimekubaliana kulinda doria ya pamoja katika mpaka kati yao na kuzindua kikosi cha pamoja katika siku za baadaye ili kupambana na ugaidi.

  • Waandishi 100 wa habari waahidi kususia mkutano wa Mohammad Bin Salman

    Waandishi 100 wa habari waahidi kususia mkutano wa Mohammad Bin Salman

    Nov 26, 2018 01:15

    Waandishi wa habari 100 nchini Misri wametia saini hati ya kususia mkutano wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia atakapotembelea nchi hiyo.

  • Duru mpya ya mazungumzo kati ya Misri na Ethiopia kuhusu bwawa la An Nahdhah

    Duru mpya ya mazungumzo kati ya Misri na Ethiopia kuhusu bwawa la An Nahdhah

    Nov 19, 2018 04:00

    Viongozi wa Misri wameripoti kuhusu kuanza mazungumzo mapya kati ya nchi hiyo na Ethiopia kuhusu bwawa la An Nahdhah.

  • HRW: Misri inawazuilia kusikojulikana makumi ya watetezi wa haki za binadamu

    HRW: Misri inawazuilia kusikojulikana makumi ya watetezi wa haki za binadamu

    Nov 18, 2018 10:57

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema vyombo vya usalama nchini Misri vimewatia nguvuni na kuwazuilia kusikojulikana makumi ya watetezi wa haki za binadamu tangu mwezi uliopita wa Oktoba hadi sasa.

  • Misri yafuta safari ya waziri wa Brazil nchini humo kutokana na Quds

    Misri yafuta safari ya waziri wa Brazil nchini humo kutokana na Quds

    Nov 06, 2018 04:34

    Misri imesimamisha safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil aliyetazamiwa kuitembelea nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wiki hii, kulalamikia kitendo cha Rais Mteule wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini kusema kuwa nchi hiyo itauhamishia ubalozi wake ulioko Israel katika mji wa Quds Tukufu.

  • Sheikh wa Azhar alaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Wakristo nchini Misri

    Sheikh wa Azhar alaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Wakristo nchini Misri

    Nov 03, 2018 10:58

    Sheikh Mkuu wa al Azhar amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga Wakristo wa Kikopti nchini humo.

  • Majina 164 ya wanachama wa Ikhwanul Muslimin yawekwa katika orodha ya makundi ya kigaidi Misri

    Majina 164 ya wanachama wa Ikhwanul Muslimin yawekwa katika orodha ya makundi ya kigaidi Misri

    Oct 29, 2018 01:10

    Mahakama moja ya mjini Cairo Misri imeyaweka majina 164 ya viongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya nchi hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS