-
Maandamano ya wananchi Morocco; nara dhidi ya jinai za Israel
Apr 22, 2025 13:11Wananchi wa Morocco wameandamana kuunga mkono Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Gaza na kupinga meli zinazobeba zana za kijeshi za utawala wa Kizayuni kutia nanga katika bandari za nchi yao.
-
Wananchi wa Morocco wafanya maandamano 105 kuiunga mkono Gaza
Apr 19, 2025 06:05Televisheni ya al Jazeera yenye makao yake nchini Qatar imetangaza kuwa wananchi wa Morocco wamefanya maandamano 105 katika miji 58 ya nchi hiyo wakitangaza mshikamano wao na kuwaunga mkono watu madhulumu wa Ukanda wa Gaza na kulaani vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel
Apr 08, 2025 11:55Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza na kutaka kufutwa makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani jinai za Israel Gaza
Apr 07, 2025 11:36Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katikati mwa mji mkuu wa Rabat kulaani mashambulio mapya ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wananchi wa Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
Dec 08, 2024 02:30Wananchi wa Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza.
-
Morocco yachapisha stempu ya Gaza kuwaunga mkono Wapalestina
Dec 03, 2024 07:15Idara ya posta ya Morocco imechukua hatua ya kuwaunga mkono Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa kuchapisha stempu yenye anuani "Pamoja na Gaza".
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani jinai za Israel
Dec 01, 2024 04:13Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa IIsrael katika Ukanda wa Gaza.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kuunga mkono Palestina
Nov 16, 2024 12:24Wananchi wa Morocco wameandamana na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wananchi wa Morocco na Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
Nov 11, 2024 13:01Wananchi wa Morocco na Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko nchini Morocco imeongezeka hadi 18
Sep 10, 2024 07:10Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa kusini mashariki mwa Morocco imeongezeka na kufikia watu 18.