• Mvutano katika uhusiano wa Morocco na Umoja wa Mataifa

    Mvutano katika uhusiano wa Morocco na Umoja wa Mataifa

    Mar 24, 2016 07:47

    Baada ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kuuelezea uwepo wa vikosi vya Morocco katika eneo la Sahara Magharibi kuwa ni "ukaliaji wa mabavu", mivutano na mikwaruzano katika uhusiano wa umoja huo na Morocco imeongezeka kufikia hadi Umoja wa Mataifa kutangaza kuwa, kwa wito wa serikali ya Rabat, imefunga ofisi yake ya mawasiliano ya kijeshi katika eneo la Sahara Magharibi na kuwaondoa waangalizi watatu wa kijeshi waliokuwepo katika ofisi hiyo.

  • Morocco yaendelea kulalamika dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Morocco yaendelea kulalamika dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Mar 18, 2016 16:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco Salahuddin Mizwar, amesema nchi yake ina hitilafu na malalamiko dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa binafsi.

  • Morocco yazima shambulio la Daesh, magaidi kadhaa wakamatwa

    Morocco yazima shambulio la Daesh, magaidi kadhaa wakamatwa

    Feb 21, 2016 16:01

    Morocco imesema kuwa imefanikiwa kuzima shambulio la kemikali lililokuwa limepangwa kufanywa na mtandao mmoja wa kigaidi unaohusishwa na kundi la kitakfiri la Daesh.