Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa

    Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa

    Jul 30, 2020 03:02

    Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.

  • Hamas: Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na Waislamu

    Hamas: Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na Waislamu

    Jul 18, 2020 03:35

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, mji mtakatifu wa Quds pamoja na Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na kambi ya muqawama na kwamba kuyaunga mkono maeneo hayo matakatifu ni jukumu la kidini na kimaadili la mataifa yote ya Waislamu.

  • Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Jun 10, 2020 00:24

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).

  • Mufti wa Palestina atoa wito kwa Waislamu kuunga mkono malengo ya Palestina

    Mufti wa Palestina atoa wito kwa Waislamu kuunga mkono malengo ya Palestina

    May 31, 2020 23:20

    Mufti wa Palestina ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kutekeleza majukumu yao kuhusu Quds na Palestina na kuyatetea matukufu yake.

  • HAMAS yalaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    HAMAS yalaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    May 30, 2020 07:55

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo kamwe haitoruhusu utawala wa Kizayuni uendelee kufanya jinai dhidi ya Msikiti wa al Aqsa (Kibla cha Kwanza cha Waislamu).

  • Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi

    Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi

    May 24, 2020 03:27

    Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds kwa ajili ya ibada.

  • Walowezi wa Kizayuni wazidi kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa huku Waislamu wakizuiwa

    Walowezi wa Kizayuni wazidi kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa huku Waislamu wakizuiwa

    Apr 04, 2020 03:18

    Idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaoingia katika Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inazidi kuongezeka siku baada ya siku huku Waislamu wakizuiwa kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kisingizio cha kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona.

  • Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa

    Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa

    Jan 24, 2020 13:30

    Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kuwajeruhji Wapalestina wengi katika viwanja vya msikiti huo wakiwazuia kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa.

  • Hamas: Masjidul Aqsa ni mstari mwekundu usiopaswa kuguswa

    Hamas: Masjidul Aqsa ni mstari mwekundu usiopaswa kuguswa

    Dec 11, 2019 04:34

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetahadharisha kuhusu vitendo vya walowezi wa Kizayuni vya kuendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS: Kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    HAMAS: Kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Oct 17, 2019 04:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, hatua ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa ni udhalilishaji na uchochezi wa wazi wa hisia za umma mzima wa Kiislamu na Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS