-
HAMAS: Dunia ikabiliane na uvunjiaji heshima yanayofanyiwa matukufu ya Kiislamu na Kikristo Palestina
Oct 10, 2019 04:20Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa ya kuitaka Jamii ya Kimataifa ichukue hatua kukabiliana na uvunjaji heshima unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya matukufu ya Kiislamu na Kikristo katika ardhi ya Palestina.
-
Hamas: Mbinu zote zinazowezekana zitumike katika kulinda Msikiti wa Al Aqsa
Oct 04, 2019 08:37Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito wa kutumiwa kila mbinu inayowezekana katika kuulinda na kuutetea Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Sep 29, 2019 09:49Walowezi wapatao 200 leo wamevamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa wakiitikia wito wa makuhani wa utawala ghasibu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Hamas yakosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya Msikiti wa Al Aqsa
Aug 21, 2019 20:41Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amezikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa 50 tangu kuchomwa moto msikiti wa Al Aqsa; Siku ya Kimataifa ya Misikiti
Aug 21, 2019 08:16Leo tarehe 21 mwezi Agosti ni maadhimisho ya kutimia mwaka wa 50 tangu kuchomwa moto na Wazayuni msikiti wa al Aqsa; siku ambayo imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Misikiti.
-
HAMAS yatoa mwito kwa Wapalestina wote kusimama pamoja kuuhami msikiti wa Al Aqsa
Aug 20, 2019 03:34Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito kwa Wapalestina wote kusimama na kuungana pamoja kwa ajili ya kuuhami msikiti wa Al Aqsa.
-
Arab League yaonyesha msimamo legevu kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kuuvamia msikiti wa Al Aqsa
Aug 12, 2019 10:23Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeonyesha msimamo legevu na dhaifu kwa uvamizi uliofanywa na askari wa utawala wa Kizayuni dhidi ya msikiti mtukufu wa Al Aqsa wakati wa Sala ya Idul-Adh'ha.
-
Walowezi wa Kiyahudi wavamia Msikiti wa al Aqsa mara tatu siku ya Idi, wajeruhi makumi ya Waislamu
Aug 11, 2019 22:14Walowezii zaidi ya 1700 wa Kiyahudi jana walivamia Msikiti wa al Aqsa mara tatu katika siku ya Idul Adh'ha na kuwajeruhi makumi ya Waislamu waliokwenda eneo hilo takatifu kwa ajili ya kufanya ibada.
-
Mufti wa Quds aonya kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa
Aug 06, 2019 07:54Sheikh Mohamed Ahmed Hossein Mufti Mkuu wa mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusiana na hujuma na uvamizi wa Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa.
-
Mhadhiri wa Kisaudi ashambuliwa vikali kwa maneno kwa kuudogesha msikiti mtukufu wa Al Aqsa
Aug 02, 2019 09:27Ujumbe ulioandikwa na mhadhiri mmoja mtetezi wa utawala wa Aal Saud katika ukurasa wa kijamii wa Twitter kwamba msikiti wa Al Aqsa hauna utukufu wowote umeamsha hasira na kushambuliwa vikali na watumiaji wa mitandao ya kijamii ya intaneti.