-
UNRWA: Nusu ya watoto wa Ukanda wa Ghaza wanahitaji msaada wa kisaikolojia
Nov 04, 2021 23:55Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa nusu ya watoto wa Kipalestina wanaoishi katika Ukanda wa Ghaza wanahitaji msaada wa kisaikolojia kutokana athari za vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
Watoto wa Kipalestina, wahanga wa jinai za utawala haramu wa Israel
Nov 22, 2019 07:07Kituo cha kutetea haki za wafungwa wa Kipalestina cha "Palestinian Prisoners Club" kilitangaza katika maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani iliyoadhimishwa tarehe 20 Novemba katika maeneo mbalimbali duniani kwamba, watoto 745 wa Kipalestina wametiwa mbaroni tangu ulipoanza mwaka huu wa 2019 hadi kufikia mwezi uliopita wa Oktoba.
-
Siku ya Kimataifa ya Mtoto na wasiwasi wa kuendelea mauaji dhidi ya watoto wa Kipalestina
Nov 21, 2018 02:37Tawi la Palestina la Harakati ya Kimataifa ya Kutetea Haki za Watoto, juzi Jumatatu ilitangaza katika taarifa yake kwamba, tangu kuanza mwaka huu wa 2018 hadi sasa, wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi watoto 52 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Gaza.
-
Siku ya mshikamano na watoto wa Palestina
Oct 02, 2018 08:12Tarehe Tisa mwezi Mehr ambayo ni sawa na Okotoba Mosi 2018 imepewa jina la Siku ya Kuonyesha Mshikamano kwa Watoto na Vijana wa Kipalestina katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Israel yakiri kwamba iliwaua kwa makusudi watoto wa Palestina katika vita vya siku 50 Gaza
Aug 13, 2018 07:48Polisi ya utawala haramu wa Israel imekiri kupitia uchunguzi uliofanyika kwamba iliwaua kwa makusudi watoto wanne wa familia moja ya Kipalestina katika vita vya siku 50 dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Watoto 291 Wapalestina wangali wanashikiliwa kwenye jela za utawala wa Kizayuni
Jul 30, 2018 14:24Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema: watoto 291 Wapalestina wangali wanashikiliwa kwenye jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wasiwasi wa asasi za kimataifa wa kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu vya Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina
Jan 11, 2018 08:02Duru mpya ya vitendo vya utumiaji mabavu na kupenda kujitanua ya utawala ghasibu wa Israel iliyoanza mwanzoni mwa mwaka huu mpya wa 2018, imewafanya Wapalestina hususan watoto wa Kipalestina kuendelea kukabiliwa na jinai kubwa za utawala huo vamizi.
-
Mwaka 2017; Israel iliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Jan 10, 2018 07:43Harakati ya Kimataifa ya Kuwatetea Watoto tawi la Palestina imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni mwaka uliopita wa 2017 uliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina katika eneo la Ukanda wa Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds.
-
Ripoti: Watoto wa Kipalestina wanateswa vibaya katika magereza ya kutisha ya Israel
Aug 07, 2017 03:43Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina kimetangaza kuwa, watoto wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.
-
Watoto 1,200 Wapalestina hutiwa nguvuni kila mwaka katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 26, 2017 03:08Mkuu wa masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa mateka na walioachiwa huru kutoka kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa watoto 1,200 Wapalestina hutiwa nguvuni kila mwaka na askari wa utawala huo haramu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.