-
Serikali ya Libya yakomboa eneo jengine muhimu la kiistratijia
May 31, 2016 07:49Vikosi maalumu vya kulinda taasisi za mafuta nchini Libya vimefanikiwa kulikomboa eneo moja la kiistratijia mashariki mwa mji wa bandari wa Sirte wa kaskazini mwa nchi hiyo, kutoka mikono mwa kundi la kigaidi la ISIS yaani Daesh.
-
Jeshi la Iraq lakomboa vijiji kadhaa mkoani Anbar
May 05, 2016 08:31Wanajeshi wa Iraq na makundi ya wanamgambo waitifaki wamefanikiwa kukomboa vijiji kadhaa vya mkoa wa Anbar wa magharibi mwa nchi hiyo ambavyo vimekuwa vikishikiliwa na magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh au ISIS.
-
Brigedia Jenerali Pourdastan: Wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh walijaribu kupenya Iran wakashindwa
Apr 11, 2016 13:33Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwezi mmoja uliopita, wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh walijaribu kupenya ili waingie Iran lakini jaribio lao hilo likafeli.
-
'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'
Mar 28, 2016 07:12Imedaiwa kuwa Jordan na Uingerea zinashirikiana kwa siri kuisaidia Kenya kukabiliana na kundi la kigaidi la Al Shabab.
-
Ugaidi hauna mustakabali Mashariki ya Kati
Mar 28, 2016 07:09Afisa mwandamizi wa Iran amepongeza ushindi wa hivi karibuni wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi wa ISIS (Daesh) katika mji wa Kihistoria wa Palmyra na kusema makundi ya kigaidi hayana mustakabali Mashariki ya Kati.