-
SAUTI: Waislamu Kenya: Serikali ya Jubilee isitumie suala la uhuru wa Ramadhani katika kampeni, ni haki ya kila Mkenya
May 23, 2017 13:32Shakhsia mbalimbali wa Kiislamu nchini Kenya, wameitaka serikali kuwahakikishia Waislamu usalama wa kutosha ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya serikali hiyo kuondoa hali ya hatari katika maeneo ya mpakani na Somalia.
-
Watakaokula mchana Ramadhani visiwani Zanzibar kukiona
May 19, 2017 23:47Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kwamba, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
-
Jumatano tarehe 06 Julai, 2016
Jul 06, 2016 01:37Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shawwal 1437 Hijria sawa na Julai 6 2016 inayosadifiana na sikukuu ya Idi al-Fitr.
-
Ramadhani, mwezi wa Qur'ani
Jun 28, 2016 04:03Wanajeshi wanamaji wa Iran, wanaadhimisha nyakati za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ibada mbalimbali. Hizi ni baadhi ya picha za jalsa ya kusoma Qur'ani iliyohudhuriwa na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeli Habibullah Sayyari.
-
Saudia yaua Waislamu 15 Yemen katika mwezi wa Ramadhani
Jun 21, 2016 09:40Watu wasiopungua 15 wameuawa leo katika mashambulizi ya ndege za kivita za Saudi Arabia katika mkoa wa Lahaj huko kusini mwa Yemen.
-
Israel yawakatia maji Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jun 15, 2016 02:48Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakatia huduma za maji Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan licha ya joto kali na hitajio kubwa la bidhaa hiyo muhimu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Vikao 400 vya Qur'ani Tukufu kote Iran
Jun 11, 2016 23:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote Iran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Vikao 400 vya Qur'ani Tukufu kufanyika kote nchini Iran
Jun 11, 2016 11:00Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote nchini katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani.
-
Wakazi wa Ukanda wa Ghaza waishukuru Iran kwa misaada katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Jun 09, 2016 09:45Wakazi wa Ukanda wa Ghaza wamewashukuru wananchi na serikali ya Iran kwa misaada ya kibinadamu wanayowapatia katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
China yawazuia tena Waislamu wa Xinjiang kufunga Saum ya Ramadhani
Jun 07, 2016 23:29Serikali ya China, kwa mara nyingine, imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na hata wakaazi wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang kutofunga Saum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.