Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Makubaliano ya Bangladesh na Myanmar ya kushughulikia hali ya Waislamu wa Myanmar

    Makubaliano ya Bangladesh na Myanmar ya kushughulikia hali ya Waislamu wa Myanmar

    Oct 25, 2017 14:52

    Jenerali Kyaw Swe, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Myanmar na mwenzake wa Bangladesh Asaduzzaman Khan, wamesaini hati mbili za maelewano za kustawisha ushirikiano wa mpakani na kuunda jopokazi la pamoja kwa lengo la kuchunguza hali ya Waislamu wakimbizi wa Rohingya.

  • Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Oct 23, 2017 02:51

    Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari kwa lengo la kuwamaliza kabisa katika nchi hiyo ya bara Asia.

  • The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Oct 17, 2017 15:12

    Gazeti la The Gardian linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kuwa Umoja wa Mataifa unashirikiana na serikali ya Myanmar katika kuficha dhulma na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • Jeshi la Myanmar laendelea kuwaua Waislamu wa Rohingya

    Jeshi la Myanmar laendelea kuwaua Waislamu wa Rohingya

    Oct 17, 2017 08:28

    Licha ya kuendelea kulaaniwa na kutolewa radimali kubwa kutoka pembe mbalimbali za dunia kuhusiana na jinai za jeshi na Mabudha magaidi wa Myanmar kuwalenga Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo, bado wimbi la mauaji na jinai kubwa dhidi ya watu hao zinaendelea kila siku.

  • Wimbi jipya la maelfu ya Waislamu Warohingya wanaokimbia mauaji na njaa Myanmar

    Wimbi jipya la maelfu ya Waislamu Warohingya wanaokimbia mauaji na njaa Myanmar

    Oct 17, 2017 04:25

    Maelfu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya mapema Jumatatu wamewasili nchini Bangladesh wakitokea Myanmar wanakokabiliwa na mauaji ya umati yanayotekelezwa na Mabudhha wenye misimamo mikali.

  • Jumuiya ya Mabunge yalaani jinai dhidi ya Waislamu wa Mynamar

    Jumuiya ya Mabunge yalaani jinai dhidi ya Waislamu wa Mynamar

    Oct 16, 2017 13:41

    Jumuiya ya Mabunge imelaani mauaji na jinai dhidi ya Waislamu Warohingya wa Myanmar katika kikao chake huko Saint Petersburg nchini Russia mkutano ambao umefanyika kwa ubunifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu

    Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu

    Oct 16, 2017 08:14

    Idara ya Huduma za Kijamii nchini Bangladesh imesema watoto karibu 14 elfu wa Rohingya wamekuwa mayatima baada ya kupoteza wazazi wao katika mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii hiyo nchini Myanmar.

  • Kofi Annan: Baraza la Usalama la UN liishinikize Myanmar iwarejeshe Waislamu kwa heshima

    Kofi Annan: Baraza la Usalama la UN liishinikize Myanmar iwarejeshe Waislamu kwa heshima

    Oct 14, 2017 15:26

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo liishinikize serikali ya Myanmar iandae mazingira ya kurejea nchini humo Waislamu zaidi ya laki tano wa Rohingya waliohamishwa makwao kwa nguvu na kukimbilia Bangladesh kutokana na ukandamizaji wa jeshi.

  • Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya

    Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya

    Oct 13, 2017 14:19

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.

  • UN yatoa ripoti ya kushtusha kuhusu jinai za jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu

    UN yatoa ripoti ya kushtusha kuhusu jinai za jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu

    Oct 12, 2017 03:39

    Ofisi ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa imekiri kuwa jeshi la Myanmar limetenda jinai dhidi ya Waislamu Warohingya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS