-
Amnesty: Kuzama kwa wakimbizi wa Rohingya ni ishara ya kuendelea dhulma huko Myanmar
Oct 10, 2017 15:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, vifo vya Waislamu wa Rohingya vinavyotokea baharini wakikimbilia Bangladesh ni ishara ya kuendelea ukandamizaji na dhulma dhidi ya jamii hiyo ya waliowachache katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar.
-
Matatizo ya wakimbizi wa Rohingya yaongezeka
Oct 09, 2017 08:39Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kuanzishwa kambi yenye idadi kubwa ya wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya wa Myanmar nchini Bangladesh ni hatari kubwa na umesisitiza kuwa, hatua hiyo inaweza kusababisha matatizo mengi ikiwa ni pamoja na kuenea magonjwa ya kuambukiza.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi laki 8 wa Myanmar waliopo Bangladesh
Oct 08, 2017 08:07Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kutoandaliwa kambi kwa ajili ya kuwahifadhi wakimbizi Waislamu wa Rohingya wapatao laki nane huko Bangladesh ni jambo hatari sana.
-
Mauaji ya Waislamu wa Myanmar bado yanaendelea, wakimbizi wakumbwa na maradhi
Oct 07, 2017 00:16Duru za habari kutoka Bangladesh zimearifu kwamba hadi sasa jeshi la serikali ya Myanmar kwa kushirikiana na Mabudha magaidi, linaendeleza mauaji na jinai kubwa dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi wa kabila la Rohingywa wa nchi hiyo.
-
Waisraeli wakiri kuhusika na mauaji ya kizazi ya Waislamu wa Rohingya
Oct 06, 2017 08:06Mtaalamu mmoja mashuhuri wa Israeil amesema kuwa Tel Aviv inahusika katika mauaji ya kimbari ya Waislamu wasio na hatia wala ulinzi nchini Myanmar.
-
Ayatullah Shirazi: Iran izidishe mashinikizo dhidi ya serikali ya Myanmar
Oct 06, 2017 04:41Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kiislamu nchini Iran ameitaka serikali ya Tehran kuzidisha mashinikizo dhidi ya serikali ya Myanmar kutokana na mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wa nchi hiyo wakishirikiana na jeshi la serikali dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar
Oct 05, 2017 07:56Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limesema jeshi la Myanmar linawaua kiholela na kuwanajisi Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.
-
Gazeti la Haaretz lakiri nafasi ya Israel katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Oct 02, 2017 14:18Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala haramu wa Israel una nafasi katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Warohingya wa Myanmar yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.
-
Katibu Mkuu wa UN ajibu tuhuma za Myanmar dhidi ya afisa wa umoja huo
Sep 30, 2017 16:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezitaja tuhuma zilizotolewa na serikali ya Myanmar dhidi ya Mratibu wa Umoja wa Mataifa kuwa si sahihi.
-
Antonio Guterres: Hali ya mambo magharibi mwa Myanmar ni "jinamizi" la kibinadamu
Sep 29, 2017 03:28Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Myanmar isitishe mashambulio yake dhidi ya Waislamu magharibi na mwa nchi hiyo na iandae mazingira ya wananchi hao kupatiwa himaya na misaada ya kibinadamu.