Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Waislamu 14 wa Rohingya wafa maji baada ya boti yao kuzama

    Waislamu 14 wa Rohingya wafa maji baada ya boti yao kuzama

    Sep 28, 2017 14:23

    Kwa akali Waislamu 14 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.

  • Israel inaendelea kulipatia silaha jeshi la Myanmar

    Israel inaendelea kulipatia silaha jeshi la Myanmar

    Sep 27, 2017 04:17

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unaendelea kusafirisha silaha kuelekea Myanmar kwa ajili ya jeshi la nchi hiyo.

  • UNHCR: Misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya Waislamu Warohingya

    UNHCR: Misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya Waislamu Warohingya

    Sep 26, 2017 16:01

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuongeza mara mbili juhudi za kuwasaidia wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya umati Myanmar na kupata hifadhi nchini Bangladesh.

  • UNHCR: Waislamu Warohingya wa Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu

    UNHCR: Waislamu Warohingya wa Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Sep 25, 2017 04:40

    Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amesema kuwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchini Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu na kwamba, Waislamu hao wamevumilia mateso na madhara mengi ya kisaikolojia.

  • Umoja wa Mataifa: Wimbi la wakimbizi wa Myanmar ndilo kubwa zaidi katika miongo ya hivi karibuni

    Umoja wa Mataifa: Wimbi la wakimbizi wa Myanmar ndilo kubwa zaidi katika miongo ya hivi karibuni

    Sep 24, 2017 03:32

    Ofisi ya ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetangaza kuwa, hadi sasa Waislamu laki saba wa jamii ya Rohingya wa Myanmar wamelazimika kukimbilia nchi jirani ya Banghladesh na kwamba, wimbi hilo la wakimbizi ndilo kubwa zaidi katika miango ya hivi karibuni.

  • Waislamu Warohingya wanaendelea kuangamizwa kwa umati

    Waislamu Warohingya wanaendelea kuangamizwa kwa umati

    Sep 23, 2017 08:04

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema ushahidi unaonyesha kuwa nyumba za Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar zinaendelea kuteketezwa katika jimbo la Rakhine.

  • UNICEF: Asilimia 60 ya wakimbizi wa Rohingya ni watoto wadogo

    UNICEF: Asilimia 60 ya wakimbizi wa Rohingya ni watoto wadogo

    Sep 23, 2017 02:36

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, karibu asilimia 60 ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia Bangladesh kutokana na mauaji na ukatili unaofanywa na Mabudha na jeshi la Myanmar, ni watoto wadogo.

  • Kuhusu Waislamu wa Rohingya, Suu Kyi ni mdanganyifu

    Kuhusu Waislamu wa Rohingya, Suu Kyi ni mdanganyifu

    Sep 21, 2017 02:27

    Wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya wanaoishi makambini nchini Bangladesh wamesema hotuba aliyotoa Aun San Suu Kyi Waziri wa Mambo ya Nje na ambaye pia ni Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar ni ya udanganyifu.

  • Mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Sep 20, 2017 07:48

    Waislamu wengi katika pembe mbalimbali za dunia wanakumbana na ubaguzi na aina mbalimbali za ukatili wa kidini, kikaumu na kikabila.

  • Rais Rouhani ataka serikali ya Myanmar isitishe mauaji ya kimbari ya Waislamu

    Rais Rouhani ataka serikali ya Myanmar isitishe mauaji ya kimbari ya Waislamu

    Sep 19, 2017 16:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ni ya kusikitisha huku akisisitiza udharura wa kuishinikiza serikali ya Myanmar ili isitishe mauaji ya kimbari na ukandamizaji dhidi ya Waislamu Warohingya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS