-
Jumanne, 30 Septemba, 2025
Sep 30, 2025 02:21Leo ni Jumanne tarehe 7 Rabiul-Thani mwaka 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 8 mwezi Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 30 Septemba 2025 Miladia.
-
Salamu za Nouruzi za Rais Pezeshkian kwa Wairan: Tutaifanya qadar yetu iwe bora na tukufu zaidi
Mar 20, 2025 12:48Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza katika ujumbe na salamu zake za Nouruzi kwa wananchi wa Iran kwamba, Nouruzi na Usiku wa Qadar (Lailatul-Qadr) ni miale miwili ya nuru moja na madhihirisho mawili ya hakika na ukweli mmoja, na akafafanua kwa kusema: "katika mzunguko mpya wa masiku, tutaifanya qadari yetu iwe bora na tukufu zaidi kuliko ilivyo sasa".
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Nowruz: 1402; Mwaka wa 'Udhibiti wa Mfumuko wa Bei, Ukuaji wa Uzalishaji'
Mar 21, 2023 03:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, ametuma ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1402 Hijria Shamsia akitoa pongezi kwa wananchi wa Iran na mataifa yote yanayosherehekea Nowruz.
-
Takht Ravanchi: Tupateni ilhamu katika ujumbe wa amani, urafiki, mshikamano na upendo wa Nouruzi
Mar 23, 2022 06:36Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, "tupateni ilhamu katika ujumbe wa amani, urafiki, mshikamano na upendo wa Nouruzi."
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; viongozi wa Marekani ndio watuhumiwa wa kuzalisha corona
Mar 23, 2020 09:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia ugonjwa wa COVID-19 ulioenea dunia nzima na kukataa msaada wowote wa Marekani kwa Iran akisema kuwa, viongozi wa Marekani ndio watuhumiwa wa kuzalisha kirusi cha corona hivyo si watu wa kuaminika na kwamba mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubali msaada wao.
-
Katibu Mkuu wa UN atuma ujumbe kwa munasaba wa Nowruz
Mar 21, 2020 01:33Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametuma salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa kuwadia siku kuu ya Nowruz (Nairuzi) ya mwaka mpya wa Hijria Shamsia na wakati huo huo akatuma salamu za rambi rambi kutokana na kupoteza maisha idadi kubwa ya watu kutokana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Kiongozi Muadhamu: Katika kadhia ya JCPOA, Wazungu wametupiga jambia kwa nyuma
Mar 22, 2019 16:58Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, jana Alkhamisi jioni alitoa hotuba muhimu sana iliyozingatia masuala mbalimbali Ukiwemo msimamo wa Wamagharibi kuhusu Iran mbele ya mjumuiko mkubwa na uliojaa hamasa wa wafanyaziara na majiran wa Haram ya Imam Ridha AS mjini Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran itawapiga mweleka maadui katika vita vya kiuchumi dhidi ya taifa hili
Mar 21, 2019 15:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mwaka mpya wa Kiirani unaoanza hii leo utakuwa mwaka wa fursa kubwa na wala hautakuwa wa vitisho kama wanavyodai wengine, na kusisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itamshinda adui katika vita vyake vya kiuchumi dhidi ya taifa hili.
-
Mwaka mpya katika matazamio ya ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Mar 21, 2019 12:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1398 Hijria Shamsia, na kuupa mwaka huo mpya jina la mwaka wa "Kustawi Uzalishaji."
-
Alkhamisi tarehe 21 Machi 2019
Mar 21, 2019 03:56Leo ni Alkhamisi tarehe 14 Rajab 1440 Hijria sawa na Machi 21 mwaka 2019.