Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

njaa

  • UN: Mamilioni ya watu wanakabiliwa na baa la njaa Nigeria, Ziwa Chad

    UN: Mamilioni ya watu wanakabiliwa na baa la njaa Nigeria, Ziwa Chad

    Feb 22, 2017 23:33

    Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa, zaidi ya watu milioni saba wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa katika eneo lililokumbwa na machafuko la kaskazini mwa Nigeria na kandokando ya Ziwa Chad.

  • Hali mbaya ya wakimbizi katika bara la Afrika

    Hali mbaya ya wakimbizi katika bara la Afrika

    Feb 22, 2017 00:36

    Hali ya maisha katika akthari ya nchi za Kiafrika, imesababisha kuongezeka idadi ya wakimbizi katika bara la Afrika. Hii ni katika hali ambayo, Mpango wa Chakula Duniani (WPF) umetahadharisha kuhusu matatizo ya chakula kwa wakimbizi wa bara hilo.

  • Wakulima Wazungu wanakabiliwa na njaa nchini Zimbabwe

    Wakulima Wazungu wanakabiliwa na njaa nchini Zimbabwe

    Feb 14, 2017 22:05

    Kwa akali wakulima 1000 Wazungu wanakabiliwa na hali mbaya ya njaa nchini Zimbabwe kutokana na kile kinachotajwa kuwa sera ya kibaguzi ya ardhi.

  • Njaa yawanyemelea maelfu Nigeria kutokana na ugaidi wa Boko Haram

    Njaa yawanyemelea maelfu Nigeria kutokana na ugaidi wa Boko Haram

    Feb 09, 2017 00:36

    Maelfu ya watu wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa nchini Nigeria kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • UN: Watu milioni 5.6 wanakabiliwa na njaa Ethiopia

    UN: Watu milioni 5.6 wanakabiliwa na njaa Ethiopia

    Jan 29, 2017 10:18

    Umoja wa Mataifa umesema mamilioni ya watu wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na athari za kiangazi na ukame nchini Ethiopia.

  • WFP: Raia milioni 1.8 wanakabiliwa na hatari ya njaa kaskazini mashariki mwa Nigeria

    WFP: Raia milioni 1.8 wanakabiliwa na hatari ya njaa kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Jan 29, 2017 00:22

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, hali ya kimaisha ya wakazi wa kaskazini mashariki mwa Nigeria inatia wasiwasi mno.

  • Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 2.4 katika hatari ya kufa njaa

    Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 2.4 katika hatari ya kufa njaa

    Jan 07, 2017 04:08

    Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa, mamilioni ya Wakenya wapo katika hatari ya kukumbana na baa la njaa katika miezi michache ijayo.

  • FAO: Watu milioni 12 Afrika Mashariki wanahitajia msaada wa chakula

    FAO: Watu milioni 12 Afrika Mashariki wanahitajia msaada wa chakula

    Dec 21, 2016 23:35

    Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) limetahadharisha kuwa, watu milioni 12 katika kanda ya Afrika Mashariki wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa.

  • Kivuli cha mauti chawafunika maelfu ya watoto Afrika

    Kivuli cha mauti chawafunika maelfu ya watoto Afrika

    Dec 16, 2016 11:14

    Maelfu ya watoto wa maeneo tofauti ya Afrika wamefunikwa na kivuli cha mauti kutokana na ukosefu wa amani na machafuko yanayotokana na mashambulizi ya kigaidi na baa la njaa barani humo.

  • Watoto laki 4 katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa Nigeria

    Watoto laki 4 katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa Nigeria

    Dec 14, 2016 10:47

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa mamia ya maelfu ya watoto nchini Nigeria wako katika hatari ya kuaga dunia kutokana na vita, njaa na lishe duni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS