-
Obama: Waislamu ni wahanga wa ugaidi
Mar 31, 2016 02:35Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kwamba Waislamu ni wahanga wa ugaidi.
-
Fidel Castro: Cuba haihitajii misaada ya Marekani
Mar 29, 2016 03:37Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro amesema nchi yake inaweza kujitegemea na hivyo haijitajii misaada yoyote kutoka Marekani.
-
Safari ya Rais wa Marekani nchini Cuba
Mar 21, 2016 16:18Rais Barack Obama wa Marekani Jumapili ya jana aliwasili Havana mji mkuu wa Cuba katika safari ya kihistoria.
-
Rais wa Marekani awasili Cuba katika safari ya kihistoria
Mar 21, 2016 02:23Rais Barack Obama wa Marekani amewasili katika mji mkuu wa Cuba, Havana katika safari inayotajwa kuwa ya kihistoria.
-
White House yakosolewa kwa mwenendo wake mbaya dhidi ya Waislamu
Feb 08, 2016 06:58Wakosoaji na makundi mbalimbali ya Kiislamu nchini Marekani yamekosoa mwenendo wa Ikulu ya Rais wa Marekani White House na viongozi wa nchi hiyo wakisema unazidisha chuki na uhasama dhidi ya Waislamu nchini humo.