-
Amir-Abdollahian: Iran haitoruhusu Israel kuhatarisha usalama wa ukanda huu
Apr 16, 2024 10:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaamini kwamba usalama na utulivu wa nchi za eneo hili zima ni muhimu sana kwake, bali ni sawa kabisa na usalama wake yenyewe na haitoruhusu utawala wa Kizayuni kuhatarisha usalama wa eneo hili kwa chokochoko zake.
-
Iran na Oman zasisitizia udharura wa kukomeshwa mara moja jinai za Israel Ghaza
Mar 25, 2024 06:13Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya simu na kutilia mkazo wajibu wa kuchukuliwa hatua za haraka na jamii ya kimataifa za kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhlumu na wasio na ulinzi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.
-
Iran, China na Russia zafanya mazoezi ya tano ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Mar 12, 2024 12:30Majeshi ya wanamaji ya Iran, China na Russia leo yameanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, yakiwa ni mazoezi ya tano ya pamoja kufanywa na majeshi hayo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Safari za ndege baina ya Iran na Oman zaongezeka maradufu, biashara yazidi kustawi
Feb 29, 2024 03:03Wakuu wa mashirika ya ndege ya Iran na Oman wamesema kuwa, safari za ndege baina ya nchi hizi mbili ndugu za Kisilamu zimeongezeka maradufu hivi sasa kutoka safari 30 hadi 60 kwa wiki.
-
Mufti wa Oman: Kujitahidi kwa Ukombozi wa Al-Aqsa ni wajibu kwa Waislamu wote
Jan 22, 2024 07:31Mufti Mkuu wa Oman kwa mara nyingine amesisitiza umuhimu wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel na akasema kuukomboa ni jukumu la Waislamu wote duniani.
-
Jumatano, tarehe 20 Disemba, 2023
Dec 20, 2023 02:38Leo ni tarehe 6Jumadithani 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 20 Disemba mwaka 2023.
-
Mufti wa Oman alaani wanaotaka kudhoofisha muqawama wa Wapalestina
Dec 10, 2023 03:07Mufti Mkuu wa Oman amewakosoa wale wanaojaribu kudhoofisha harakati za mapambano ya Kiislamu (muqawama) za Wapalestina dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel.
-
Oman yataka Israel ibebeshwe dhima kwa jinai zake huko Gaza
Nov 01, 2023 03:02Oman imeitaka jamii ya kimataifa iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake za kutisha katika Ukanda wa Gaza, na pia dunia ichukue hatua za dharura za kukomesha mauaji ya halaiki ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Alkhamisi tarehe 28 Septemba, 2023
Sep 28, 2023 03:03Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Septemba 28, 2023.
-
Baqeri: Ghuba ya Uajemi inahitaji usalama wa nchi za eneo tu
Sep 22, 2023 02:44Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uwepo wa kijeshi wa maajinabi katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, nchi za eneo hili zina uwezo wa kujidhaminia usalama wao.