-
Ziara ya Rais wa Zanzibar nchini Oman + SAUTI
Oct 15, 2022 17:41Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi amemaliza ziara yake ya siku nne nchini Oman na amesema kuwa, ziara yake hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi...
-
Jumatano, tarehe 28 Septemba, 2022
Sep 28, 2022 02:18Leo ni Jumatano tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na Septemba 28 mwaka 2022.
-
Iran na Oman zajadili mapatano ya kuondolewa Tehran vikwazo
Aug 29, 2022 11:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatathmini kwa kina jibu la serikali ya Marekani kuhusu masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya kuliondolea vikwazo taifa hili.
-
Iran: Mataifa ya Asia Magharibi yanapaswa kuamua kuhusu mustakabali wa eneo
Jun 24, 2022 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Asia Magharibi ndiyo yanayostahiki kuamua kuhusu mustakabali wa eneo hili la kistratijia.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Muscat
May 24, 2022 01:19Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya pamoja mjini Muscat na kutilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizi mbili ndugu.
-
Sultan Haitham atoa amri ya kifalme ya kuimarishwa ushirikiano wa baharini wa Oman na Iran
May 19, 2022 07:11Sultan Haitham bin Tariq wa Oman ametoa amri ya kifalme ya kupasisha makubaliano ya ushirikiano wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa uchukuzi na usafiri wa baharini.
-
Mufti wa Oman awakosoa viongozi wa Kiarabu wanaofuturu na Wazayuni huku al Aqsa ikitiwa najisi
Apr 21, 2022 02:49Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili, amepongeza misimamo ya kishujaa ya wanamapambano wanaoendelea kukabiliana na uvamizi wa mara kwa mara wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini
Mar 10, 2022 04:10Kikao cha Tatu cha Makamanda wa Gadi ya Ufukweni ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran na Oman kimefanyika mjini Muscat na kujadili usalama wa baharini. Maudhui kuu iliyojadiliwa na nchi hizi mbili ndugu katika kikao hicho ni kuzidi kushirikiana na kuwa na uratibu wa pamoja na kulinda usalama wa mpaka wa baharini wa nchi hizo.
-
Rais Ebrahim Raisi: Azma ya kisiasa ya Iran ni kustawisha uhusiano na mataifa rafiki
Feb 24, 2022 03:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, irada ya kisiasa ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ni kukuza na kustawisha ushirikiano na mataifa rafiki hususan Oman.
-
Iran haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna
Feb 23, 2022 14:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu imezifahamisha nchi za Magharibi kuwa katu haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna ambayo yanalenga kuhuisha mapatano ya JCPOA.