-
Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini
Mar 10, 2022 00:40Kikao cha Tatu cha Makamanda wa Gadi ya Ufukweni ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran na Oman kimefanyika mjini Muscat na kujadili usalama wa baharini. Maudhui kuu iliyojadiliwa na nchi hizi mbili ndugu katika kikao hicho ni kuzidi kushirikiana na kuwa na uratibu wa pamoja na kulinda usalama wa mpaka wa baharini wa nchi hizo.
-
Rais Ebrahim Raisi: Azma ya kisiasa ya Iran ni kustawisha uhusiano na mataifa rafiki
Feb 23, 2022 23:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, irada ya kisiasa ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ni kukuza na kustawisha ushirikiano na mataifa rafiki hususan Oman.
-
Iran haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna
Feb 23, 2022 10:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu imezifahamisha nchi za Magharibi kuwa katu haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna ambayo yanalenga kuhuisha mapatano ya JCPOA.
-
Rais wa Syria asifu na kupongeza sera na misimamo ya Oman kuhusiana na nchi yake
Feb 01, 2022 04:14Rais Bashar al Assad wa Syria ameipongeza Oman kutokana na nafasi yake kuu na yenye mlingano kuhusiana na nchi yake.
-
Iran: Uhusiano wetu na Oman ni wa jadi na imara sana
Jan 10, 2022 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, uhusiano wa Tehran na Oman ni wa jadi na imara na kwamba siasa za serikali ya Iran zitaendelea kuwa za kupigania uhusiano imara na majirani zake.
-
Jumatatu tarehe 20 Disemba 2021
Dec 20, 2021 10:55Leo ni Jumatatu tarehe 15 Jamadil Awwal 1443 Hijria sawa Disemba 20 mwaka 2021.
-
Jumanne tarehe 28 Septemba 2021
Sep 27, 2021 23:00Leo ni Jumanne tarehe 21 Safar 1443 Hijria sawa na Septemba 28 mwaka 2021.
-
Meli ya Israel yashambuliwa katika pwani ya Oman
Jul 30, 2021 08:07Jeshi la Uingereza limetangaza habari ya kushambuliwa meli ya mizigo ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika pwani ya Oman.
-
Sultan Haitham awasili Saudia katika safari ya kwanza ya kiongozi wa Oman baada ya kupita zaidi ya miaka 10
Jul 11, 2021 23:10Sultan Haitham bin Tarik wa Oman amefanya safari ya kwanza nje ya nchi kwa kuitembelea Saudi Arabia, ikiwa pia ni mara ya kwanza kufanywa na kiongozi mkuu wa Oman huko Riyadh baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Katu hatutafanya mapatano na Israel
Jul 10, 2021 06:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuunga mkono haki za kisheria za Palestina na katu haitafanya mapatano na utawala wa Kizayuni wa Israel.