-
Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya
Feb 12, 2022 10:13Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.
-
Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya
Dec 23, 2021 02:50Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake ina haki kamili ya kujihami dhidi ya hatua zisizo za kirafiki za Marekani na akabainisha kwamba Moscow itachukua hatua mwafaka za kijeshi na kiufundi juu ya suala hilo.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan aionya India: Tutajibu mapigo kwa hatua ya kijeshi kama tulivyofanya 2019
Dec 18, 2021 07:41Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameionya India kuwa, endapo itajaribu kuchukua hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Pakistan, nchi hiyo itajibu mapigo kama ilivyofanya mwaka 2019.
-
Hamas yatahadharisha kuhusu hatari ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 19, 2021 16:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imetahadharisha kuhusu hatari za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na taathira zake mbaya kwa mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni
Jun 22, 2021 08:17Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, muqawama utaanzisha duru mpya ya mapigano na mashambulizi ya roketi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu iwapo utawala huo hautafungua vivuko vya Ukanda wa Ghaza.
-
Tahadhari ya Mwanasheria Mkuu wa Marekani Kuhusu ugaidi wa ndani ya nchi hiyo
May 06, 2021 10:14Mwanasheria mkuu wa Marekani Merrick Garland ametahadharisha kuhusu hatari inayoibuka kwa kasi ya ugaidi wa ndani ya nchi na amelitaka bunge la nchi hiyo, Kongresi, kutenga fedha zaidi kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu kadhia hiyo na pia kwa ajili ya kuwasaka na kuwafikisha kizimbani magaidi wa ndani ya nchi.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kupungua misaada kwa Yemen
Mar 03, 2021 08:28Mnamo Machi 2015, Saudi Arabia, ikishirikiana kwa karibu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati), ilianzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hivi sasa wakati vita hivyo vikiingia mwaka wa saba, nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Kongo
Feb 28, 2021 08:11Umoja wa Mataifa umetoa ripoti na kutahadharisha kuhusu kuendelea mapigano ya silaha na kuongezeka vitendo vya utumiaji mabavu vinavyofanywa na wanamgambo wanaobeba silaha na hivyo kusababisha mamilioni ya watu kuwa wakimbizi.
-
Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani
Dec 26, 2020 02:39Matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran baada ya kuituhumu Tehran kwamba, ilihusika katika mashambulio ya hivi karibuni ya maroketi dhidi ya ubalozi wa Wsahington mjini Baghdad, yamekabiliwa na radiamali kali ya taifa hili.
-
Wasiwasi wa kuongezeka njaa na umasikini nchini Marekani
Dec 23, 2020 00:52Kusambaa virusi vya Corona nchini Marekani na mazingira yaliyosababishwa na utendaji mbovu wa serikali ya nchi hiyo ni mambo ambayo yamepelekea kuongezeka matatizo ya kijami na kiuchumi yanayoikabili nchi hiyo.