-
Indhari ya Wazayuni kuhusu kusambaratika uchumi wa Israel
Nov 11, 2020 08:17Naftali Bennett, kiongozi wa chama cha harakati ya mrengo wa kulia wenye kufurutu ada kinachojulikana kama chama cha The New Right amesema kuwa, katika hali ya hivi sasa Israel inaelekea upande hatari na wa kutisha na kwamba, imo mbioni kusambaratika kiuchumi.
-
Indhari ya Umoja wa Ulaya kwa Serbia na Kosovo kuhusu kuhamishia na kufungua balozi zao Quds
Sep 08, 2020 11:06Moja ya hatua zilizochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani katika kutoa huduma kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuutambua mji wa Baytul-Muqaddas kama mji mkuu wa utawala huo ghasibu na kuhamishia ubalozi wake katika mji huo Mei mwaka 2018, hatua ambayo ilikabiliwa na upinzani wa walimwengu.
-
Hamas yauonya utawala wa Kizayuni kuhusu chokochoko Ghaza
Aug 10, 2020 07:58Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu chokochoko zake katika Ukanda wa Ghaza.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kugeuka virusi vya Corona na kuwa janga la njaa
Apr 15, 2020 03:59Kuibuka virusi vya Corona na maradhi ya Covid-19 ulimwenguni, kumeifanya jamii ya mwanadamu ikabiliwe na tatizo ambalo halijawahi kushuhudiwa, mgogoro ambao unaweza kuitwa janga la kimataifa la Corona.
-
Tahadhari ya maafisa wa Italia kuhusu uwezekano wa kusambaratika EU
Apr 14, 2020 06:29Maambukizi ya virusi vya corona na kutokuwepo ushirikiano kwa ajili ya kudhibiti kasi ya maambukizi ya virusi hivyo katika nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) vimetia mashakani mustakbali wa umoja huo na malengo ya kuasisiwa kwake.
-
Seneta wa Marekani aionya Saudia kwa kushusha bei ya mafuta
Apr 04, 2020 04:12Seneta wa chama cha Republican nchini Marekani ameitahadharisha Saudia kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia kutokana na tofauti zake na Russia na kuitaka ibadili mienendo yake.
-
Tahadhari ya WHO kuhusu kasi ya kuongezeka virusi vya corona
Mar 24, 2020 08:11Shirika la Afya Duniani WHO limetoa tahadhari kuhusiana na kasi kubwa ya kuenea virusi vya corona duniani.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani
Feb 18, 2020 08:13Kujitokeza makundi ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu mpaka na kuenea katika nchi za Magharibi vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na makundi hayo, na vile vile kujitokeza mgogoro wa wakimbizi, ambao akthari yao ni Waislamu, yote hayo yametumiwa na baadhi ya viongozi na vyombo vya habari vya Magharibi kama kisingizio cha kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu; jambo ambalo limeufanya Umoja wa Mataifa ulazimike kupaza sauti yake.
-
Misri yatahadharisha kuhusu madola ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya Libya
Feb 03, 2020 03:06Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametahadharisha kuhusu madhara yanayosababishwa na madola ajinabi ya kuingilia masuala ya ndani ya Libya.
-
Indhari ya Umoja wa Ulaya kuhusu kutofikiwa makubaliano ya kibiashara na Uingereza katika kipindi cha baada ya Brexit
Jan 29, 2020 01:27Suala la mpango wa Uingereza wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya (Brexit) linahesabiwa kuwa daghadagha muhimu zaidi ya wananchi wa Uingereza.