-
Yemen yazitaka asasi za kimataifa kupamabana na maradhi ya kuambukiza
Jan 16, 2020 07:58Maafisa wa sekta ya afya nchini Yemen wametoa wito kwa asasi za kimataifa kuongeza juhudi za kukabiliana na maradhi ya kuambukiza kama homa ya dengue na vilevile malaria.
-
Kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu nchini Sudan Kusini
Aug 27, 2019 11:16Licha ya kutiwa saini makubaliano ya amani huko Sudan Kusini, lakini machafuko na vitendo vya utumiaji mabavu vingali vinaendelea kushuhudiwa katika nchi hiyo.
-
Tahadhari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani
Aug 06, 2019 03:00Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11, 2001 Marekani ilijitangaza kuwa mbeba bendera wa mapambano dhidi ya ugaidi ulimwenguni na kufanya uvamizi wa kijeshi katika nchi kadhaa kwa kisingizio hicho, lakini kuongezeka kwa kesi za mashambulio ya silaha nchini humo na hasa katika siku chache zilizopita, kumepelekea kutolewa tahadhari kali juu ya kuongezeka ugaidi wa ndani katika nchi hiyo ya Magharibi.
-
Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani
Feb 21, 2019 11:16Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.
-
Adnan al-Husayni aonya kuhusu njama za kuugawa Msikiti wa al-Aqswa
Feb 21, 2019 02:53Waziri wa Masuala ya Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusiana na njama za kutaka kuugawa Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Onyo la Russia kuhusu kuingilia kijeshi Marekani mgogoro wa Venezuela
Jan 30, 2019 12:54Matukio ya kisiasa yaliyojiri karibuni katika nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta ya Venezuela na makabiliano yanayozidi kupamba moto baina ya wapinzani na serikali ya mrengo wa kushoto ya nchi hiyo yameingia kwenye awamu nyeti na hasasi.
-
HAMAS yaionya Israel isiendelee kuushambulia Ukanda wa Ghaza
Jan 13, 2019 16:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS leo imetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuonya kuhusu madhara ya uchokozi wake katika Ukanda wa Ghaza.
-
Papa Francis atahadharisha kuhusu hatari ya kutokea vita vya tatu vya dunia
Jan 08, 2019 03:21Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametahadharisha kuhusu hatari ya kutokea vita vingine vya dunia.
-
UNICEF: Uhai wa zaidi ya watoto milioni moja uko hatarini Mashariki ya Kati
Nov 29, 2018 07:44Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kwamba, maisha na uhai wa watoto zaidi ya milioni moja katika eneo la Mashariki ya Kati uko hatarini wakati huu wa kuwadia msimu wa baridi.
-
Katibu Mkuu wa Arab League atoa tahadhari kuhusu hali ya nchi za Kiarabu
Oct 25, 2018 02:33Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ametahadharisha kuwa nchi za Kiarabu zinakabiliwa na kipindi chenye mashaka makubwa.