-
Hamas yatoa indhari kwa utawala haramu wa Kizayuni
Oct 21, 2018 23:18Mshauri wa masuala ya habari wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameutahadharisha utawala wa Kizayuni dhidi ya kutenda jinai ya aina yoyote dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Indhari ya jamii ya kimataifa kuhusu matokeo mabaya ya kuendelea vita na mzingiro dhidi ya Yemen
Oct 16, 2018 14:38Baada ya kupita miezi kadhaa ya kuzingirwa kila upande Yemen na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia, sasa kumeibuka wasiwasi mkubwa wa kushadidi hali mbaya ya kibinadamu hasa baada ya asasi mbalimbali za kimataifa kutoa indhari kuhusiana na suala hilo.
-
Katibu Mkuu wa Jihad al-Islami auonya utawala haramu wa Israel
Oct 07, 2018 02:27Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina ameonya kwamba, mapambano na muqawama una uwezo wa kuvifanya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko jirani na Ghaza visiwe kukalika.
-
Iran yatoa onyo kali kwa watawala mafashisti wa Israel
Oct 06, 2018 08:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amewatahadharisha viongozi wabaguzi, maghururi na wasio na mantiki wala adabu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu athari mbaya za lugha yao chafu, isiyo na mantili na vilevile fikra zao kuhusiana na taifa kubwa la Iran.
-
Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini
Sep 30, 2018 01:26Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.
-
Askofu Mkuu wa New York: Kashfa za ngono zinavunja imani ya watu kwa kanisa Katoliki
Sep 14, 2018 23:57Askofu Mkuu wa New York nchini Marekani amezungumzia kashfa kubwa ya vitendo vya kuwanajisi watoto katika kanisa Katoliki na kusema kuwa, hali hiyo itaondoa imani ya watu kwa taasisi hiyo ya kidini.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya wimbi jipya la kipindupindu Yemen
Aug 31, 2018 14:07Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu uwezekano wa kuibuka tena wimbi jipya la maradhi ya kipindupindu nchini Yemen.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani kwa miamala yake mibaya katika mazungumzo
Aug 29, 2018 14:50Serikali ya Korea Kaskazini imewaonya viongozi wa Marekani juu ya uwezekano wa kuvunjika mazungumzo kati ya pande mbili, kufuatia hatua ya Washington ya kumzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo kutembelea Pyongyang.
-
Onyo la maafisa wa zamani wa kijasusi wa Marekani kuhusu nyaraka bandia za Netanyahu dhidi ya Iran
Aug 07, 2018 06:15Israel ambayo inahesabiwa kuwa mmoja wa maadui wakubwa wa Iran katika eneo la Mashariki ya Kati daima inafanya njama na kueneza madai ya uongo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hususan katika mradi wake wa amani wa nyuklia lengo lake kuu likiwa ni kutaka kupoteza imani ya jamii ya kimataifa na kuifanya ichukue hatua dhidi ya Iran.
-
Indhari za kimataifa; Yemen katika maafa ya kibinadamu
Aug 05, 2018 02:30Kufuatia kushtadi mashambulizi ya vikosi vamizi vya Saudi Arabia na waitifaki wake huko Yemen, taasisi za misaada ya kibinadamu za kimataifa zimetahadharisha kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu nchini humo khususan katika bandari iliyokumbwa na mgogoro ya al Hudaydah.