-
Indhari za kimataifa; Yemen katika maafa ya kibinadamu
Aug 05, 2018 02:30Kufuatia kushtadi mashambulizi ya vikosi vamizi vya Saudi Arabia na waitifaki wake huko Yemen, taasisi za misaada ya kibinadamu za kimataifa zimetahadharisha kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu nchini humo khususan katika bandari iliyokumbwa na mgogoro ya al Hudaydah.
-
Nchi, jumuiya na taasisi za kimataifa zapinga sheria ya "apartheid" huko Israel
Jul 25, 2018 07:26Nchi na jumuiya mbalimbali za kimataifa zimeendelea kupaza sauti zao kupinga sheria iliyopasishwa na Bunge la utawala haramu wa Israel, (Knesset) inayoitambua Israel kuwa ni dola la Mayahudi pekee.
-
Indhari kali ya Ufaransa dhidi ya siasa za kibiashara za Trump
Jul 15, 2018 10:05Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amekosoa siasa za kiuchumi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuuhusu Umoja wa Ulaya.
-
Onyo la Trump kwa mashirika ya Ulaya; hatua mpya ya kuvuruga mapatano ya JCPOA
Jul 03, 2018 03:09Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kwamba atayawekea vikwazo mashirika yote ya Ulaya ambayo yataamua kufanya biashara na Iran.
-
Iraq yazionya Marekani na Israel juu ya madhara ya kukariri hujuma zao dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi
Jun 21, 2018 13:49Makamu wa Rais wa Iraq, Nouri al-Maliki ameionya Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kukariri mashambulizi yao ya anga dhidi ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi na kusisitiza kwamba kitendo hicho ni cha kijinga ambacho kitachochea migogoro katika eneo.
-
Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 11, 2018 06:57Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali uamuzi wa Marekani wa kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA akisema unatishia usalama na amani ya Mashariki ya Kati.
-
Katibu Mkuu wa UN atoa indhari kuhusu hali mbaya mno ya uchafuzi wa mazingira katika bahari kuu
Jun 10, 2018 16:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya juu ya hatari ya kumiminika kila mwaka karibu tani milioni nane za takataka za plastiki kwenye maji ya bahari kuu.
-
Kudhoofika afya ya Sheikh Isa Qassim, nembo ya siasa za kidhulma za utawala wa Aal Khalifa
Jun 09, 2018 01:24Vyombo vya habari vimekuwa vikitoa ripoti zinazoonyesha kudoofika kiafya Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa nchini Bahrain.
-
Indhari ya taasisi za kimataifa kuhusu hali ya maafa ya kibinadamu huko Yemen
May 16, 2018 07:47Francesco Rocca Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Kamati za Msalaba na Mwezi Mwekundu amesisitiza kuwa hali ya kibinadamu huko Yemen ni ya maafa.
-
Answarullah ya Yemen yaiunga mkono Somalia; yaionya Imarati
Apr 21, 2018 07:27Muhammad Ali al Houthi, mkuu wa Kamati Kuu za Mapinduzi ya Yemen ameiunga mkono Somalia katika mgogoro wake na Imarati ambayo inaingilia waziwazi masuala ya ndani ya Somalia na kuitahadharisha Abu Dhabi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Mogadishu.