-
Russia yaonya kuhusu njama za Magharibi za kukwamisha fainali za Kombe la Dunia 2018
Apr 02, 2018 02:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Russia, Maria Zakharova amesema kuwa nchi za Magharibi zinafanya jitihada za kuzuia kufanyika mashindano ya soka ya Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia na kwamba baadhi ya nchi hizo zinafanya kila liwezekanalo kufikia lengo hilo.
-
Umoja wa Mataifa: Asilimia 40 ya watu duniani wanakabiliwa na uhaba wa maji
Mar 23, 2018 03:14Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 40 ya watu duniani wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama ya kunywa.
-
HAMAS: Mzingiro dhidi ya Gaza unazidi kuifanya kuwa mbaya hali ya eneo hilo
Mar 22, 2018 07:33Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametahadharisha kwamba, kuendelea mzingiro dhidi ya Ukanda wa gaza kutazidi kuifanya kuwa mbaya hali ya mambo katika eneo hilo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu hujuma za kigaidi za kundi la Daesh
Mar 21, 2018 08:14Waziri Mkuu wa Iraq ametahadharisha kuhusu hujuma na mashambulizi yanayoweza kufanywa na mabaki ya kundi la kigaidi la Daesh sambamba na kukaribia uchaguzi wa Bunge nchini humo uliopangwa kufanyika tarehe 12 mwezi Mei mwaka huu.
-
Jumuiya ya Madaktari wa Kiarabu yatahadharisha kuhusu maafa ya kibinadamu Yemen
Mar 16, 2018 14:25Jumuiya ya Madaktari wa Kiarabu imetahadharisha kwamba, msimu wa joto wenye maafa unawasubiri wananchi wa Yemen ambao wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu.
-
Ayatullah Taqi al-Modarresi: Marekani inafanya njama kuifuta Hashdu sh-Sha'abi na kuirejesha Daesh Iraq
Mar 02, 2018 15:31Ayatullah Sayyid Mohammad Taqi al-Modarresi, mmoja wa maraajii wakubwa wa mjini Najaf, Iraq ametahadharisha juu ya njama chafu za waungaji mkono wa ugaidi nchini humo kwa ajili ya kuidhoofisha na hatimaye kuifuta harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi na kurejeshwa tena makundi ya kigaidi.
-
Kugawanywa Yemen, ajenda ya Saudia na Imarati
Feb 17, 2018 02:39Waziri MKuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen alisema siku ya Alkhamisi kwamba Saudi Arabia na Umoja wa Falame za Kiarabu zina nia ya kuigawa Yemen katika sehemu mbili na kisha kuiunganisha nchi hiyo na ardhi za nchi hizo mbili vamizi.
-
Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel
Jan 31, 2018 03:22Harakati ya Hizbullah ya lebanon imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kupitia kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kilichopo kusini mwa Lebanon (UNIFIL) kuhusu suala la kujenga ukuta wa kibaguzi katika mipaka na Lebanon.
-
Rais wa Palestina: Tutakata uhusiano na nchi zitakazohamishia balozi zake Quds
Jan 15, 2018 14:34Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametahadharisha kwamba, mamlaka hiyo itakata uhusiano wake na nchi yoyote ile ambayo itafuata uamuzi wa Marekani na kuuhamishia ubalozi wake huko Beitul-Muqaddas kutoka Tel-Aviv.
-
Tawi la Kijeshi la Hamas lauonya utawala wa Israel kuhusu jinai dhidi ya Wapalestina
Dec 30, 2017 14:55Brigedi ya Izz ad-Din al-Qassam, Tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, ukiendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina, vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vitashambuliwa.