-
Hamas: Kitu pekee kinachoitia kiwewe Israel ni nguvu za kijeshi za Iran na muqawama
Nov 23, 2017 07:30Mkuu wa zamani wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hali hivi sasa imekuwa mbaya kiasi kwamba baadhi ya tawala za Kiarabu hazioni haya tena kuifanya muhanga kadhia ya Palesitna kwa ajili ya kulinda tawala zao.
-
Russia yawaonya raia wake kutotembelea Ulaya na Marekani
Nov 18, 2017 15:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imewatahadharisha raia wake walio na nia ya kutembelea Marekani na nchi za Ulaya katika kipindi cha sherehe za mwaka mpya wa Milaadia na kusema kuwa kuna hatari ya kutokea mashambulizi ya kigaidi katika nchi hizo.
-
Kuna uwezekano wa kutokea vita vya ndani ikiwa kura ya maoni itafanyika eneo la Kurdistan, Iraq
Sep 17, 2017 03:43Katibu wa Shirika la Badr nchini Iraq ametahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya ndani nchini humo iwapo kura ya maoni ya kutaka kujitenga eneo la Kurdistan, itafanyika.
-
Russia: Marekani na Ulaya zisicheze na moto
Sep 16, 2017 07:07Mkuu wa Baraza la Federesheni ya Russia amewatahadharisha mafisa wa serikali za Washington na nchi za Ulaya kukabiliana na nchi hiyo na kusema, siasa zilizodhidi ya Russia za Marekani ni sawa na kucheza na moto.
-
Indhari ya Wapalestina kuhusiana na kuendelea njama dhidi ya Masjidul-Aqswa
Aug 22, 2017 12:02Kushtadi njama za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa katika siku za hivi karibuni ambazo zimesadifiana na kumbukumbu ya kuchomwa moto msikiti huo na Wazayuni maghasibu kumepelekea kuibuka wasiwasi mkubwa miongoni mwa Wapalestina na fikra za waliowengi ulimwenguni.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Mapinduzi Yemen awatahadharisha wanajeshi vamizi wa Sudan
Aug 04, 2017 08:06Mkuu wa Baraza Kuu la Mapinduzi la Yemen ametangaza kuwa wanajeshi wa Sudan hawatarudi hai nchi kwao baada ya kuingia katika ardhi ya Yemen.
-
Wanaharakati watahadharisha kushadidi machafuko mashariki mwa Sudan
Jul 30, 2017 08:04Wanaharakati za asasi za kiraia nchini Sudan wametahadharisha kuhusiana na uwezekano wa kushadidi machafuko na ukosefu wa amani katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.
-
Onyo la Qatar kwa Saudi Arabia dhidi ya kutumia kisiasa ibada ya Hija
Jul 19, 2017 12:09Kamati ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Qatar jana Jumanne ilitoa taarifa ikisema kuwa Saudi Arabia inajaribu kutumia kisiasa ibada ya Hija kwa kuweka vikwazo na vizingitia katika njia ya Mahujaji wa nchi hiyo na kuonya kwamba iwapo vikwazo hivyo havitaondolewa huenda ikalazimika kuishtaki nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa.
-
Russia yawatahadharisha magadi kuhusu mashambulizi ya kichochezi ya kemikali huko Syria
Jul 06, 2017 13:49Bi Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema leo Alhamisi kuwa Moscow ina taarifa kwamba magaidi wanapanga kufanya mashambulizi ya kemikali ya kichochezi huko Syria ili kuhalalisha mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya vikosi vya serikali ya Damascus.
-
Senegal yaonya kuhusu hatari za kupinduliwa serikali ya Gambia
Jul 06, 2017 07:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Senegal ameonya kuwa ukosefu wa utulivu na machafuko yanatishia uwepo wa serikali mpya ya Gambia.