-
Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi
Jul 03, 2017 08:25Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.
-
Bunge la Libya latahadharisha kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani
Jun 12, 2017 21:57Bunge la Libya limetahadharisha kuhusu kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani wa nchi hiyo.
-
Onyo kuhusu Quds na kulegeza kamba Donald Trump
Jun 03, 2017 02:48Walimwengu wamezidi kukasirishwa na ukandamizaji unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds. Huku hayo yakiripotiwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito wa kuitishwa Ijumaa ya ghadhabu dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Ramaphosa atahadharisha Afrika Kusini kugeuka nchi ya kimafia
May 22, 2017 02:49Makamu wa Rais wa Afrika Kusini ametahadharisha juu ya nchi hiyo kugeuka na kuwa ya Kimafia.
-
Onyo la Waziri Mkuu wa Iraq juu ya njama za kimataifa dhidi ya taifa hilo
May 20, 2017 23:25Akizungumza mbele ya waandishi wa habari mjini Baghdad hapo siku ya Ijumaa Haider al-Abad, Waziri Mkuu wa lraq alikosoa vikali hatua ya kufanyika mwezi mmoja uliopita vikao vya eti kujadili mustakbali wa lraq huko mjini Geneva Uswisi kwa ubunifu wa Marekani na vilevile mjini lstanbul kwa ubunifu wa Uturuki.
-
Indhari ya jumuiya za wananchi nchini Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
May 09, 2017 21:53Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umetoa indhari na onyo kuhusiana na matokeo mabaya ya hujuma dhidi ya mwanazuoni wa Kishia Sheikh Issa Qassim.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Mali
May 01, 2017 23:56Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika nchi ya Kiafrika ya Mali.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen
Apr 26, 2017 22:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, watoto zaidi ya 50 wa Yemen wanafariki dunia kila siku kutokana na hali mbaya inayotawala nchi hiyo.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuwa Daesh wanaweza kuidhibiti tena Libya
Apr 15, 2017 00:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hatari ya kupanuka zaidi udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika maeneo mbalimbali ya Libya na hali mbaya inayotawala maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo.
-
HRW: Saudia imetenda jinai za kivita Yemen
Mar 13, 2017 03:34Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa mashambulizi ya anga ya Saudi Arabia yaliyoua raia nchini Yemen ni jinai ya kivita.