-
Watoto wachanga 14 wafariki katika ajali ya moto iliyotokea hospitalini Pakistan
Aug 26, 2026 11:15Watoto wachanga wasiopungua14 wamefariki dunia katika moto uliozuka kwenye chumba cha watoto cha hospitali ya serikali katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, huku Waziri Mkuu Shehbaz Sharif akitangaza kuwa ameshaamuru uchunguzi ufanyike kuhusu ajali hiyo.
-
Pakistan yaripoti 'maendeleo makubwa' katika mazungumzo ya Tehran ili kupunguza mvutano kati ya Marekani na Iran
Aug 25, 2026 10:18Pakistan imeripoti "maendeleo makubwa" katika mazungumzo ya kidiplomasia ya ngazi ya juu yaliyofanyika Tehran, yenye lengo la kupunguza kasi ya vita vinavyoendelea kati ya Marekani na Iran na kuokoa Mkataba wa Maelewano wa Islamabad (MoU), unaosimamiwa na Pakistan.
-
Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan zasaini mkataba wa pamoja wa ulinzi huku nguvu ya Marekani ikipungua
Aug 08, 2026 02:46Saudi Arabia imesaini makubaliano ya pamoja ya ulinzi kati yake na Uturuki Pakistan kwa lengo la kuimarisha usalama wa pamoja na ushirikiano wa kijeshi huku nguvu za kijeshi za Marekani zikipungua katika eneo hili.
-
Pezeshkian: Iran haitazungumzia uwezo wake wa kjeshi, asema makombora yameiepusha Iran na hatima ya Gaza
Jun 24, 2026 10:59Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa Tehran haitawahi kamwe kufanya mazungumzo yoyote kuhusu uwezo wake wa ulinzi na kuzuia uchokozi (deterrence), akibainisha kuwa ghala la makombora la nchi hii ndilo limeiweka Iran salama dhidi ya kukumbwa na hatima ya Gaza.
-
Waziri Mkuu: Pakistani itakuwa mwenyeji wa hafla ya "kihistoria" ya kusaini makubaliano ya Iran na Marekani mjini Geneva, Juni 19
Jun 16, 2026 02:57Waziri Mkuu wa Pakistani, Shehbaz Sharif amesema kuwa hafla ya kutia saini Mkataba wa Maelewano kati ya Iran na Marekani (MOU) itaandaliwa na nchi yake mjini Geneva, Juni 19 mwaka huu.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan: Makubaliano kati ya Iran na Marekani 'yanatarajiwa ndani ya saa 24'
Jun 14, 2026 03:14Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amesema kuwa makubaliano kati ya Iran na Marekani kwa lengo la kukumaliza vita yapo "karibu zaidi kuliko wakati mwingine wowote," huku yakitarajiwa kukamilika ndani ya saa 24 zijazo.
-
Kwa nini Trump anataka Pakistan iwe na uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel?
May 27, 2026 13:29Chanzo kimoja cha habari cha Pakistan kimeripoti kuhusu upinzani wa wazi wa Islamabad dhidi ya ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuitaka nchi hiyo ijiunge na mchakato wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, na kuongeza kuwa Islamabad inaiona hatua ya Washington kuwa jaribio la kutumia vibaya diplomasia ya "kusimamisha vita na Iran" ili kutoa mashinikizo katika kesi zisizohusiana.
-
Pakistan yakataa wito wa Marekani wa kuanzisha uhusiano na 'Israel'
May 27, 2026 03:12Pakistan imekataa wito wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kuitaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Waziri wa Ulinzi wa Pakistan, Khawaja Asif, amesema pendekezo hilo kuwa “halikubaliki” na linakwenda kinyume na misingi ya taifa hilo.
-
Mkuu wa jeshi la Pakistan azungumza kwa kina na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini Tehran
May 23, 2026 12:35Asim Munir, Mkuu wa jeshi la Pakistan amefanya mazungumzo ya muda mrefu na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araqchi mjini Tehran, huku jitihada za kidiplomasia zikishika kasi ili kuzuia kushtadi hali ya mgogoro katika Asia Magharibi.
-
Afghanistan yaituhumu Pakistan kwamba imeua watu 400 hospitalini Kabul
Mar 17, 2026 08:17Afghanistan imelituhumu jeshi la Pakistan kwamba limeua mamia ya watu katika shambulio la anga dhidi ya hospitali moja mjini Kabul.