-
Safari ya Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran nchini Pakistan na diplomasia ya Tehran ya ulinzi amilifu
Feb 28, 2022 07:39Jumapili ya jana tarehe 27 Februari, Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad kwa minajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa kijeshi na kisiasa wa nchi hiyo.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran nchini Pakistan; majirani wawili wenye maslahi na daghadagha ya pamoja
Feb 15, 2022 08:58Jumatatu ya jana tarehe 14 Februari, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alifanya safari ya nchini Pakistan.
-
Kufanyika mkutano wa umoja wa Kiislamu nchini Pakistan
Dec 31, 2021 23:25Mkutano wa umoja wa Kiislamu umefanyika katika mji wa Lahore, Pakistan kwa kuhudhuriwa na Hujjatul Islam Wal muslimin Hamid Shahriyari, Katibu Mkuu wa Baraza la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu na Sirajul-Haq, Kiongozi wa chama cha Jaamatul-Islami cha Pakistan.
-
Radiamali ya Taliban kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan
Dec 21, 2021 23:06Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ametoa radiamali kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan akisema kuwa: Hakuna mtu atakayeruhusiwa kutumia ardhi ya Afghanistan dhidi ya mataifa mengine.
-
Pakistan, Uturuki na Malaysia kuasisi televisheni ya kupambana na chuki dhidi ya Uislamu
Dec 20, 2021 05:42Waziri wa Habari na Turathi za Taifa wa Pakistan amesema, nchi hiyo kwa kushirikiana na Uturuki na Malaysia zitaanzisha chaneli ya televisheni kwa lengo la kukabiliana na kampeni za uenezaji chuki dhidi ya Uislamu duniani.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan aionya India: Tutajibu mapigo kwa hatua ya kijeshi kama tulivyofanya 2019
Dec 18, 2021 04:11Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameionya India kuwa, endapo itajaribu kuchukua hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Pakistan, nchi hiyo itajibu mapigo kama ilivyofanya mwaka 2019.
-
Mwito wa Imran Khan wa kuitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan
Oct 27, 2021 22:45Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ameitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan na irejeshe mali hizo zinazoshikiliwa na mabenki ya Marekani.
-
Sisitizo la Pakistan la kutokuweko makubaliano baina yake na Marekani ya operesheni za kijeshi nchini Afghanistan
Oct 24, 2021 23:01Serikali ya Pakistan imekanusha ripoti za vyombo vya habari zinazoeleza kufikiwa makubaliano kati yake na Marekani kwa ajili ya kufanya operesheni za kijeshi na kijasusi nchini Afghanistan.
-
Baba na mhandisi wa kombora la nyuklia la Pakistan afariki dunia
Oct 10, 2021 09:35Baba na mhandisi wa silaha za nyuklia wa Pakistan, Abdul Qadeer Khan ameaga dunia mapema leo Jumapili akiwa na umri wa miaka 85.
-
Mtetemeko wa ardhi waua makumi ya watu nchini Pakistan
Oct 07, 2021 21:24Mtetemeko wa ardhi uliokuwa na ukubwa wa 5.9 kwa kipimo cha Rishta ulitokea mapema jana katika mkoa wa Baluchistan, kusini magharibi mwa Pakistan na kuua watu wasiopungua 23.